Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
All in one vumbistan, topestan n ukurutustan!
Ila wachina wanadharau hadi bango la mradi limeandikwa kwa kichina kwanini huu uhanithi hawafanyi Tz?Kwa wale wachawi walikuwa wanasema Talanta Stadium ni ya Mchina, someni hapo Alafu maendeLeo kulia zaidi😂😂
Someni hapo kwa proprietor 👇👇👇😂
View attachment 3077623
Ni kwasababu itakua owned by Chinese 🤣🤣The only project in Ukunyani currenly underway n progressing in accepted speed!
Ni mradi wao kaka wao ndio wamiliki 😂😂😂Ila wachina wanadharau hadi bango la mradi limeandikwa kwa kichina kwanini huu uhanithi hawafanyi Tz?
Nyambaff!.., hehehe., kwa pesa za ndani, manina zako!hehehehe.., fikra za vijiweni hiziTanzania ni taifa linalojenga miradi yake kwa pesa za ndani zaidi ya 60%.
Huwa hatuegemei sana mikopo.
Ndio maana utakuta deni letu kwa GDP ratio ni dogo.
Tofauti na ninyi mna madeni mengi kiasi deni lenu kwa GDP ratio ni kubwa.
Halafu pia Tanzania huwa inafanya vitu kwa uhakika,ndio maana tukiunda mradi basi unakuja ukiwa kamilifu sio kama Kenya.
Karne hii mnajenga jointed railway kweli!??
Hizo si karne za ukoloni wa Germany 1880s!??
Akili za kitanzania zimedua kweli.., tatizo sio kukopa but wanaangalia viability, what will be return on investment? makes sense when Uganda and Rwanda are roped in.., yaani akili mtu wangu sio kukurupuka kiholela., yenu imebeba mizigo tani ngapi?.., a white elephant project kwa vile mizigo zaidi ya 70% ya port ya Dar inabakia Dar.., kwingine ni vijiji tupu, train ya abiria haijawai kukuwa na faida duniani, business is in freight kilaza, nyie mko na mali kidogo sana ya kupeleka vijijini, SGR yenu haiwezi tengeneza faida kirahisi! Serikali ya washamba wanajenga ilimradi tu hawaelewi ni kwa nini, hawana lengo mwafaka haswa, wanajaribu kushindana na jirani hiyo ndio lengo.., masomo duni ni balaa kwa taifa na kuongozwa na mibongolala ni laana kuu!!Kwanini kama nyie mnakopesheka kirahisi hamkukopa mjenge na kwanini hiyo garimoshi yenu inaishia porini kwanini msikope tena?
Acha maneno. Leta project tufanye comparisons. Mnaandika maneno mengi mnoNyambaff!.., hehehe., kwa pesa za ndani, manina zako!hehehehe.., fikra za vijiweni hizi
Fika mahali Kenya iko kwa sasa ndio uje.., tumewangoja sana.., SGR ya umeme working 200km stretch ya abiria na ka BRT tu sio kitu.., hamna lolote kwa Kenya bado.., jitahidi, hekaya za abunuasi nenda ukahadithie washamba wa kwenuAcha maneno. Leta project tufanye comparisons. Mnaandika maneno mengi mno
Aloo noma sana 😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥The largest judiciary building in East and central Africa. 👇🏾View attachment 3077293View attachment 3077294View attachment 3077295View attachment 3077296
We naye wacha ngonjera weka express way ya mchina ukitoka hapo weka na GTC za mchina alafu malizia na vi apartment nzee kwisha habari yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Fika mahali Kenya iko kwa sasa ndio uje.., tumewangoja sana.., SGR ya umeme working 200km stretch ya abiria na ka BRT tu sio kitu.., hamna lolote kwa Kenya bado.., jitahidi, hekaya za abunuasi nenda ukahadithie washamba wa kwenu