chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,311
- 45,111
Hawa wapumbavu huwa wanatweza sana vita ya majimaji iliopiganwa kwa zaidi ya miaka mitatu nchi nzima na kupelekea wajerumani kupoteza maisha na mali nyingi sana kwa kusema wazee wetu hawakua na akili ila baada ya kuona wajerumani wanafanya hivi kwenye comments eti wanawasifia watanzania, hawa watu wapumbavu sana hawajahi miliki akili hata 1 mbele ya Mzungu
View: https://x.com/LarryMadowo/status/1827008520283447679?t=wz_NTIR9WOzYRZAhB3UEaw&s=19
View: https://x.com/LarryMadowo/status/1827008520283447679?t=wz_NTIR9WOzYRZAhB3UEaw&s=19