Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona mnaogopa ukweli?😂😂🤣👇👇

View attachment 3077300
Screenshot_20240823_210427.jpg

Mnaleta wazee kwenye michuano ya watoto,leteni the same age kama tunavyoleta sisi muone mtakachokipata
 
Sgr ya kenya mpaka leo haijafika malaba mtoto aliyezaliwa wakati huo ana miaka 12 darasa la 6 bado mnajenga tuu🤣🤣🤣🤣
Ya Kenya iko break, that's clear Ilisimama, sio kama yenu inajengwa usiku na mchana na haisongi, ata kwa sasa haijafikia zile kilometers Kenya imejenga na bado eti mnajenga zaidi ya miaka yenye Kenya ili tumia kujenga na bado🤣🤣🤣🤣.., boss nimewadharau sana haubadilishi lolote., kha!!! , mnanuka ufukara, taifa nyonge raiya hovyo., mko down sana, hapa mnajitekenya tu, hamna lenyu!.,
 
Hao wakituuzia mahindi gunia mbili wanapiga kelele kweli kweli while sisi tunawauzia mabasi, malori na some Toyota cars😂😂🤣
Nyie mkiuza mabasi saba ambayo ni faida kwa matajiri na wenye viwanda na sisi tukiwauzia mahindi tani laki 3 ni bei gani na ni faida kwa watanzania wangapi?
 
Hawa wapumbavu huwa wanatweza sana vita ya majimaji iliopiganwa kwa zaidi ya miaka mitatu nchi nzima na kupelekea wajerumani kupoteza maisha na mali nyingi sana kwa kusema wazee wetu hawakua na akili ila baada ya kuona wajerumani wanafanya hivi kwenye comments eti wanawasifia watanzania, hawa watu wapumbavu sana hawajahi miliki akili hata 1 mbele ya Mzungu

View attachment 3077378

View: https://x.com/LarryMadowo/status/1827008520283447679?t=wz_NTIR9WOzYRZAhB3UEaw&s=19

View: https://x.com/RichardOnsare1/status/1827008914665202121?t=JfrPLFJG29Li4Dq4pVTFgg&s=19 kuna mkunya katoa yowe la wivu hapa,hivi hawa hiyo mau mau walipigana na wajerumani hadi na wao eti wawekwe kwenye mitaa ya germany!
 
Ya Kenya iko break, that's clear Ilisimama, sio kama yenu inajengwa usiku na mchana na haisongi, ata kwa sasa haijafikia zile kilometers Kenya imejenga na bado eti mnajenga zaidi ya miaka yenye Kenya ili tumia kujenga na bado🤣🤣🤣🤣.., boss nimewadharau sana haubadilishi lolote., kha!!! , mnanuka ufukara, taifa nyonge raiya hovyo., mko down sana, hapa mnajitekenya tu, hamna lenyu!.,
Sasa utafanisha quality ya SGR ya tz na hiyo takataka ya mchina ya Kenya harafu msijisahau kujimilikisha vitu visivyokuwa vyenu hiyo sgr ni mchina kwa miaka 99
 
Maendeleo ya dom itaifanya dar ipumue,natamani moro,arusha na tanga zipige hatua ili watu wapungue dar,mtu m 6 n.k kwenye mji mmoja ni wengi mno
Nikiwaambia Tanzania ni nchi ya jiji moja, Dar pekee, jiji lenye CBD moja, mnakasirika, ndio maana mmejazana kule karibia nyoote kutoka vijijini, matokeo ni uswazi kila eneo, yaani ni 80% ama zaidi ya jiji🤣🤣🤣🤣 jengeni tafadhali mjikomboe kutokana na aibu, na pia mjitume mpunguze omba omba kukuja Kenya.,
 
Cheki hizo rapid development in Dodoma 👇🏾
IMG_0814.jpeg
IMG_0813.jpeg
au unajifanya kipofu eeh.? 😂😂😂
 
Nikiwaambia Tanzania ni nchi ya jiji moja, Dar pekee, jiji lenye CBD moja, mnakasirika, ndio maana mmejazana kule karibia nyoote kutoka vijijini, matokeo ni uswazi kila eneo, yaani ni 80% ama zaidi ya jiji🤣🤣🤣🤣 jengeni tafadhali mjikomboe kutokana na aibu, na pia mjitume mpunguze omba omba kukuja Kenya.,
Ww kundudweller ushawahi kufika TZ?ukiondoa naikundu ni mji gani huko kundudweller unaufikia mwanza?
 
Back
Top Bottom