President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,380
Njaa kaka. Ogopa mtu mwenye njaa, anatamani watu wote wawe kama yeye. 🤣 🤣 🤣 🤣Mwenye njaa siyo mwenzakoAnahama mara ooh mbona ume book economy!?
Kwani pesa huna!?
😂😂😂😂Hao wenye pesa kuliko mimo wame book economy sembuse mimi!?