Ni sawa na kituruki kimepitia stage kama tatu.Tatizo la jamaa huyo anadhani kiswahili kilianza. Yaani mfano Kama wimbo fulani unaanza kuimbwa na mtu fulani au jamii fulani.
Mimi nilimweleza tangu juzi, kiswahili Kiliibuka (emerged), hakikuanza (started).
Nilimuuliza kama kilianza inabidi atuambie ni nani aliyekianzisha.
Lugha huwa haianzi, lugha inaibuka
Na mpaka sasa kiswahili bado kinakua. Inazaliwa misamiati mbalimbali na baadae kuwa maneno ya kawaida kabisa.
Ila mwanzo hakikua kikiitwa kituruki.
Walianza kutumia kiarabu kama kiarabu baadae wakakibadili kuja katika misamiati ya kiajemi na sasa hivi kimechanganyika misamiati ya kiajemi na kigiriki.
Uko sahihi mkuu lugha huibuka ama kuzaliwa sio kuanzishwa.
Na lugha haiwezi kuibuka pasi na maendeleo ya mji na muingiliano mkubwa wa watu.