Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunarudia kusema english sio lugha yetu so usitulazmishe kukijua, china wanaongea lugha yao, russia wanaongea lugha yao, india wanaongea lugha yao, etc nyinyi lugha yenu ni ipi??😂😂😂😂
Sasa mtihani mnafanya vipi Kama kiingereza kina wachenga
 
They are trying kwa nguvu sana kupambana na sisi huku wakitumiwa na mabwana zao kutoka ulaya lakini wapi.
Hawawezi bro hii train Sio kenya tu hata africa nzima imeshtuka, viwango vya europe kabisa hizi nilikutana na mmoja katika watu wa TRC unaniambia hii reli una system ambayo train ikipita inajua kitu gani kibovu au hakiko sawa alaf inatoa taarifa kua kifaa fulani kwenye train kina hitilafu, alaf kingine akaniambia train ina system ambazo dereva akikimbia sana akipewa alert na control tower asiposikia, basi control tower anaweza kupunguza speed ya train moja kwa moja au kusimamisha kabisa train, alaf akanambia signal zilizofungwa ni more advanced Sana etc
 
Butcher iko hvi alaf nyama za kuliwa na binaadamu zinapigwa na vumbi, wadudu wakila Aina wanagusa nyama ya kuliwa na binaadamu alooo 🙌🙌🙌🙌🙌

Kwenye utu na kuthamini mkenya ni kama anasa kubwa Sana

20240819_123933_HDR.jpg
20240819_123942.jpg
 
Back
Top Bottom