Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndege wamepewa bure na serikali
Parking hawalipi wamepewa waiver
Bill ya mafuta inapelekwa ikulu
Hasara tangia 1970 😂😂😂
How do you expect them to make profit when they carry 800k passengers in a year 😂😂🤣😂
 
Wakenya tusaidieni. Sgr yetu watu wanapanda bure huku
Tz ya vi wonder
Hizo habari tunazo, ni bora CCM imkabidhi bakhressa tu manke hizi ni aibu 😂
Screenshot_20240819_064715_Google.jpg
 
Back
Top Bottom