Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maumivu ya kichwa yako palepale 🤣🤣🤣
Wakeee hvi Kaka waone vzr hvo wanakua hawafungui 😂😂😂😂
Screenshots_2024-08-19-17-24-02.png
 
Kiswahili did not start, my young boy. Kiswahili emerged
How does language can start? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mbona anatudanganya huyu!?😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁
Kiswahili kimeanzia pwani ya Tanganyika miji ambayo ilikua kabla hata ya miji ya Lamu na Mombasa.
Na kiswahili asilimia 60 ni maneno ya kibantu asilimia ilobaki ni maneno ya kutoholewa lugha za kigeni.
 

Attachments

  • Screenshot_20240819-191345.png
    Screenshot_20240819-191345.png
    664 KB · Views: 6
Back
Top Bottom