Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heart pain goes straight to tanzakundu, the pride of Africa is back πŸ‘‡ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
IMG_20240819_201922.png
 
Tuliza mshono Makambako kwenye TAZARA?
Ndio,ni kuwapa option ya 2 DRC/Zambia na kupunguza Msongamano Dar Port Kwa sababu SGR ikitoboa Huko Nothern DRC Bandari ya Dar itakuwa na Msongamano sana so relief yake ni Mtwara port.

Hatua yeyote ya kujenga kireli hicho mnaita Mtwara Corridor ni hasara mara 1,000 na utakuwa ni uamzi wa kijuha.

Ushauri naoutoa una Tija kiuchumi,Malawi aliyetegemewa awe mteja wa Mtwara ndio keshajipatia Chaka la uhakika.
 
Back
Top Bottom