Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ichoboy01 anaumwa😂😂🤣👇👇

1724138251172.jpeg
 
Kuelewa kingereza ndio huwa tabu kwako. Wapi loss ya 82B hapo?😂😂🤣😂
Mm sielewi ndio basi tafsiri wewe au ww ndio huelew kiswahili 😂😂😂😂😂

soma tena
Munakopa pesa kuficha aibu ya loss 82.7b ksh nimecheka Sana alooo😂😂😂😂😂

So ruto kaona kabla dreamliner haijatua muwe mushapata habari za matumaini

View: https://youtu.be/UjbTbsk3Xg4
 
😂😂😂😂😂😂 so kwann mulienda kukopa 82.7b ksh ili iweje kama kweli munapata faida kwann mukope pesa nyingi sana kias hicho

Tumia akili ya kuvukia barabara tu

View: https://youtu.be/UjbTbsk3Xg4

Kwani hiyo loan ilichukuliwa this year?😂😂🤣 Imagine that loan has been there for all those years and KQ has been making losses. Again profit is calculated as Revenue-Expenses-Taxes.

Utalia zaidi😂😂🤣
 
Kwani hiyo loan ilichukuliwa this year?😂😂🤣 Imagine that loan has been there for all those years and KQ has been making losses. Again profit is calculated as Revenue-Expenses-Taxes.

Utalia zaidi😂😂🤣
So ruto katoa loan kwenye books za kq ili ipate faida au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

IMG-20240820-WA0000.jpg
 
Hamujalipa loan Bali serekali imebeba loan ya kq mbwa nyie Yani ruto anaakili Sana na atawatandika vile atakavyo 😂😂😂😂😂
View attachment 3074709
Is this the first time serikali kubeba loan ya KQ? How many times has government taken over KQ loans lakini bado KQ inamake losses? Ama ni vile leo wametengeneza faida inakuuma zaidi?😂😂🤣😂
 
Endelea kuuliza😂😂🤣😂. Loans are there to be paid😂😂🤣
Kwamba baada ya ruto kutoa loan kwenye kq books ndio ipate faida au🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ruto wewe unaaakili Sana budaa

IMG-20240820-WA0000.jpg
 
Is this the first time serikali kubeba loan ya KQ? How many times has government taken over KQ loans lakini bado KQ inamake losses? Ama ni vile leo wametengeneza faida inakuuma zaidi?😂😂🤣😂
What ever but serekali imebeba loan ya kq 82.7b ksh na imetoa kwenye kq books ndio ipate faida narudia kusema ruto anaakili Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂

IMG-20240820-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom