Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Nikifuatilia matokeo ya Police Fc nakutana na kitimu kimewekwa bendera ya tanzakundu alafu kimefumuliwa tatu bila nikacheka Sana 😂😂😂Gor Mahia ndiyo bingwa wa Kenya, Coastal union ya 4 huku Tanzania na hiyo nafasi walibahatisha tu, kitendo cha wewe kuijua coastal inamaanisha unaifuatilia sn NBC, mm timu yenu ya pili siijui, asante Azam🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii wasione plz watalia Sana 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/C8BzeTkKyJQ/?igsh=MTM1aDJvbzBhZnh0ag==
Mbona matokeo ya yanga na Azam huuliziii na hzo ndio team kubwa Tanzania, coastal ni team ya nne kubwa tanzania😂😂😂Tunaomba matokeo ya Coastal Union Mzee usitunyime 😂😂😂😂😂
They are trying kwa nguvu sana kupambana na sisi huku wakitumiwa na mabwana zao kutoka ulaya lakini wapi.Kwenye kitu cha Tanzania hua lazma watumie east Africa lakini ingekua ya Kenya wangetumia Kenya mbwa hawa 😂😂😂😂
View attachment 3073888
Mbona matokeo ya Yanga hujatangaza, mbona matokeo ya Azam hujatangaza, mbona Simba huwaongelei, wacha wivu gasho la Mombasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nikifuatilia matokeo ya Police Fc nakutana na kitimu kimewekwa bendera ya tanzakundu alafu kimefumuliwa tatu bila nikacheka Sana 😂😂😂
Hizo ni changamoto ndogondogo zitatatuliwa utake usitake, hii ni Africa lkn sisi tumeamua kutoka huko, tumeiheshimisha Africa hata ulie hutobadili ukweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Fully booked makalio, abiria wa 50Bob ndio wamemaliza nafasi, wakishuka pugu, Ndovu anabakia mweupe 😂
View attachment 3073851
Usifungue kama huna roho. Pole sana kwa huyu jamaa
View: https://x.com/emilykschrader/status/1736415482972958827?t=lSLm5WhblCREz43H4VBG-g&s=19
Usifungue kama huna roho. Pole sana kwa huyu jamaa
View: https://x.com/emilykschrader/status/1736415482972958827?t=lSLm5WhblCREz43H4VBG-g&s=19
Did Tanzania government issue any statement about this brutality?Nilidharau Tanzania pale walipo ignore hii issue
Hawana diplomacy, wangeomba msaada kutoka kwa Gen z Ku deal na Hamas.Did Tanzania government issue any statement about this brutality?
Tatizo lako huwa Una hasira Sana, mabosi wamekudhulumu ??😂😂Mbona matokeo ya Yanga hujatangaza, mbona matokeo ya Azam hujatangaza, mbona Simba huwaongelei, wacha wivu gasho la Mombasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi kumbe tabora kigoma tayari washaanza duuu niko nyuma sana