Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Ila we Venus ni fala sana we jamaa ๐๐๐๐ nimecheka kwa nguvu hadi watu wananishangaa ๐๐๐๐Nasikia wanatembea na Mbolea kama kaka zao.
Ila we Venus ni fala sana we jamaa ๐๐๐๐ nimecheka kwa nguvu hadi watu wananishangaa ๐๐๐๐Nasikia wanatembea na Mbolea kama kaka zao.
Baada ya chokochoko za lake Tanganyika, Malawi imemwaga mboga.
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1824853477899862135?t=v2_MA6Mam2cnC0FdueewHA&s=19
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Kaka inamaana mbolea inasambazwa kwa toileti paper.Shida ni kuoga Tu Kaka na hvi maji hakuna ndio kabisa kuna hotel moja nililala Kisumu hakuna maji ni toilet paper Tu Kwan nilikaa kaka, niliondoka siku hiohio ๐๐๐๐๐๐
Hua wanasema dawa ya mbolewa ni toilet paper ๐๐๐ Yani ukiona nchi inashida na maji basi ujue hio nchi inanatatizo makubwa Sana๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Kaka inamaana mbolea inasambazwa kwa toileti paper.
Pia ni ukweli Mozambique kijiographia inawafaa Malawi zaidi ya ๐น๐ฟMalawi hawana mizigo ya maana na bado watarudi tz na nyie mzigo ya Ethiopia soon inaenda Somalia
Unaweza ukapanda Mchicha kabisa na ukaota. Imagine mwezi mzima unasambaza mbolea huko ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃHua wanasema dawa ya mbolewa ni toilet paper ๐๐๐ Yani ukiona nchi inashida na maji basi ujue hio nchi inanatatizo makubwa Sana
Wengi wao unakuta nyasi zimeota kwa wingi, vichaka vya kila aina ๐๐๐๐Unaweza ukapanda Mchicha kabisa na ukaota. Imagine mwezi mzima unasambaza mbolea huko ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Tuko tayar kuunga Uganda mkono lakini sio hawa maumbwa ๐๐๐๐๐๐
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1825445576411853289?t=Py4tZ7Ni2zRj1XCbLLa1SA&s=19
Sibora nipande punda kuliko hii tetenus๐๐Haya Mabasi hata sura zinaonyesha ni Bus, Sio yale ya Wakundustan mpaka mtu asisitizie na kukoleza wino, Hili ni Bus ๐ La sivyo halijulikani ni dude gani.
Imagine hili ni gari ๐
View attachment 3074039
Just imagine. Njia imejaa nyasi, ni muhimu mno kuvaa viatu ukiwa unapita njia hiyo, maana unaweza ukakanyaga vitu vya ajabu na ukapata hookworm infection ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Baadae ukapata safuraWengi wao unakuta nyasi zimeota kwa wingi, vichaka vya kila aina ๐๐๐๐
Hayakuhusu, nyie mbina mahouse girl wenu wakiuwawa huko arabuni hatuwaulizi, shenzi!!!Did Tanzania government issue any statement about this brutality?
Hujui diplomasia wewe.Nilidharau Tanzania pale walipo ignore hii issue. Consulate ya Palestine ingefungwa
Si wanasemaga wana best health care system Africa nzima baada ya South Africa?Gari ya kubeba majani ya ng'ombe ndio inabeba mkenya mgonjwa, hii mpaka inafikia hospital si tayar fuvu lishagoma Kula
View attachment 3074012View attachment 3074013
Do you even know how diplomacy work on those kind of issues!??Did Tanzania government issue any statement about this brutality?
Hawajielewi hawa.Hayakuhusu, nyie mbina mahouse girl wenu wakiuwawa huko arabuni hatuwaulizi, shenzi!!!
Besides, tunajua kwamba waliomuuani ni waisraeli wenyewe. Wapaleatina wanatujua vizuri na ukarimu tunaofanyia mpaka leo. Nchi ya kwanza Africa kuweka ubalozi wao, kuwawapa fursa ya kuwafanya kazi hapa....mpaka kuna hospitali ya palestina. Usiwe mjinga wewe.
Sisi sio level yenu.
Goro chali, police manusura ๐Tunaomba matokeo ya Gor Mahia tunajua mnayo ila mnatubania ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Naona huko CECAFA timu yao ya wanawake imetoka bila bila na timu ya South Sudan ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃGoro na police yao zimepigwa
That's why i asked a question, educate meDo you even know how diplomacy work on those kind of issues!??
Kiswahili started on the Kenyan coast and its not an indigenous African languageThank you for this post. It demonstrates that we have our own solid identity and we are not craving to be identified by some other culture or people.