ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,443
- 88,527
Uropokaji wa watu wachache ndio unautumia kama justification!?
Wavuke wakienda wapi, zote hizo ni outskirts ambazo hupati pedestrians.viaduct iko wapi au Wakundustani hawavuki hapo?
![]()
![]()
![]()
![]()
Hawa nyang'au hawajui kuwa hizi ni enzi za utandawazi; na mwenye macho haambiwi tazama😎😎Gorofa za Kenya ni ilimradi MTU apande na kushuka🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3073536View attachment 3073536View attachment 3073537
Ni mwendo wa uvundo na kunguni kama matatu zao!Gorofa za Kenya ni ilimradi MTU apande na kushuka🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3073536View attachment 3073536View attachment 3073537
Mbona kusiwe na viaduct kuifikisha CBD? Maana umekosoa tuta la SGR Tanzania lenye Underpasses kibao Dodoma! Au ni ujuaji hushinda werevu?Mzee Nafkiri unazungumzia expressway manake Sgr inapita outskirts
Nishajibu, palistahili viaduct yenye free standing piers sio matuta.Mbona kusiwe na viaduct kuifikisha CBD? Maana umekosoa tuta la SGR Tanzania lenye Undeepasses Dodoma!
Chanzo cha taarifa cha Kenya!!
MAONI: Watanzania wajue, kushindana na Wakenya ni sawa na kushindana na ndovu kunya!
HIVI majuzi nimemuudhi mtu nilipomwambia kuwa Tanzania ya sasa ni Kenya ya miaka ya themanini. Alikereka ajabu kwa kuwa yeye ni Mtanzania. Si kidemokrasia; si kielimu; si kimtizamo wa maisha kwataifaleo.nation.co.ke
So mlala kibera umewazidi maono yap marekez,kunyan acheni ujuaji nyinyiNishajibu, palistahili viaduct yenye free standing piers sio matuta.