Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
First quarter mbwa tuliwapiga pointi 20 kwa zero ππππ
First quarter mbwa tuliwapiga pointi 20 kwa zero ππππ
Upumbavu wa kale huu, tushatoka huko kwenye mambo ya kipumbavu.Nairobi towers over 30 floors.
1. 88 Condominium - 48 floors
2. GTC Office Tower - 43 floors
3. 1870 West Tower 1 - 37 floors
4. 1870 West Tower 2 - 37 floors
5. GTC Hotel Tower - 35 floors
6. Prism Tower 34 floors
7. UAP Tower - 33 floors
8. Times Tower - 33 floors
9. GTC Residence 1 - 33 floors
10. Altura Tower - 33 floors
11. KICC - 32 floors
12. GTC Residence 2 - 31 floors
13. GTC Residence 3 - 31 floors
14. Grosvenor Residences - 30 floor
15. Grosvenor Residences 2 - 30 floors
16. Le Mirage - 30 floors
17. CBK Pension Tower - 30 floors
Hehe, kuna wakati walikuwa wanajishaua eti wako na more towers over 30 floors than Nairobi.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huoni kuna hadi mapazia. πππ
Mbona iko empty?ππ
Hata mimi niliongea nao wakaniambia walienda tu kuona how backward Tanzania is. By the way tutajuaje uliongea nao wakakuambia vile unasema cause anybody can guess anything and say them hereππView attachment 3069454
Hao Wazungu I met them a day before ya hii mechi, wakaniambia wana mpango wa kwenda kuangalia hii mechi, wametoka Italy 2 weeks ago na tayari wameishasikia ubora wa derby ya Kariakoo. Sasa walienda kama ordinary fans tu, kufika ground jersey zikawatia ndimu, wakapagawaβ¦β¦wakapiga uzi wa Wananchi, kesho yake wanajikuta kwenye pages za Yanga na magazeti, wakatuma kwao kwa rafiki zao, wakabaki wanashangaa hii vibe ya soccer inapatikana Afrika? Na wengine wakasema next time wanakuja na wao, na hivi ndivyo ligi yetu inaenda duniani kama utani, sasa wewe endelea kubinya mapumbu ukidhani itakusaidia.
Hizo towers zinamsaidiaje mtu wa kipato cha chini kuweka ugali juu ya meza? Ndio maana kuna Gen Z demonstration hukoπ€£π€£π€£Upumbavu wa kale huu, tushatoka huko kwenye mambo ya kipumbavu.
Hakuna cha kukosa ticket yet there are empty seats all overπππ€£. Sema tu hukuwa na uwezo wa Foyal classππLeo Niko ndani ya the modern electric train in Africa alooo hii ni economy nimekosa ticket business class, wallah unaeza sema somewhere Europeπππ€²π€²π€²π€²π€²View attachment 3069360View attachment 3069361View attachment 3069362
Hii yote kwasababu wana uhakika na usalama wao. Kuna nchi hawawezi kuthubutu kufanya hivi maanake wasipoibiwa watarushiwa vinyesi.View attachment 3069454
Hao Wazungu I met them a day before ya hii mechi, wakaniambia wana mpango wa kwenda kuangalia hii mechi, wametoka Italy 2 weeks ago na tayari wameishasikia ubora wa derby ya Kariakoo. Sasa walienda kama ordinary fans tu, kufika ground jersey zikawatia ndimu, wakapagawaβ¦β¦wakapiga uzi wa Wananchi, kesho yake wanajikuta kwenye pages za Yanga na magazeti, wakatuma kwao kwa rafiki zao, wakabaki wanashangaa hii vibe ya soccer inapatikana Afrika? Na wengine wakasema next time wanakuja na wao, na hivi ndivyo ligi yetu inaenda duniani kama utani, sasa wewe endelea kubinya mapumbu ukidhani itakusaidia.
Endelea kujifurahisha tu hakuna anayekukataza.Hata mimi niliongea nao wakaniambia walienda tu kuona how backward Tanzania is. By the way tutajuaje uliongea nao wakakuambia vile unasema cause anybody can guess anything and say them hereππ
Please Count the locomotives zilizo pikiwa hapa:-
View: https://x.com/Semkae/status/1823460014478033040
Zimewekwa seat covers kufunika ubao wa kukalia mamaeeee lazima matrako yaumeπ€£π€£π€£Alafu hizo siti zimepigwa siti cover kama mapazia ya theaterβ¦β¦.πππ
Kwanza nginjanginja lina operate on a jointed rail hence makelele na kurukaruka pili seat za ubao tatu hajuna air conditioning system nne hakuna entertainment facilities kama video screens tano hakuna WiFi sita very sluggish take long hours for a small distance the list is endless πNo wonder watu wanaopt kulala chiniβ¦β¦nimesafiri na SGR usiku sijaona a single person hata anataka kulala zaidi ya a little nap kwenye seat, sasa hao jamaa zetu safari ya masaa 4 behewa zima limechoka mbaya mpaka watu wanalala sakafuni tells a lot about how discomfort that train isβ¦β¦..yaani unalala chini mahala ambapo kila mtu anakanyaga kwa safari ya masaa 4 tu? Aisee hii ni ngijangija kweliπππ
Jua kali facility π€£π€£π€£π€£
Nyang'au Teargas anajifanya kuchukia ukimuambia hivyo, ha ha haππKwanza nginjanginja lina operate on a jointed rail hence makelele na kurukaruka pili seat za ubao tatu hajuna air conditioning system nne hakuna entertainment facilities kama video screens tano hakuna WiFi sita very sluggish take long hours for a small distance the list is endless π
Hapo ndio tumeingia kwenye train bado watu Wanaingia wengine wako kwenye ticket check chizi wwπππππHakuna cha kukosa ticket yet there are empty seats all overπππ€£. Sema tu hukuwa na uwezo wa Foyal classππ
Even hunger will equally be massive π€£π€£π€£And there is 10 towers (32,32,27,27,26,24,20,24,28,30)under construction at this place just neighboring GTC,the skyline will be massive π₯π₯π₯