Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee hzo station ni level za Europe bro😂😂🙌
20240814_100303.jpg
20240814_100305.jpg
20240814_100307.jpg
 
Na zao zote zilikuwa mpya. Hatukupumzika humu. Sahii ukiongelea towers wanasema ni vitu visivyo vya maana.😂
Sisi tunaweka hela kwenye miundombinu, viwanda, kilimo na uvuvi pamoja na kwenye elimu na afya. Towers can wait zitakuja tuu automatically no need ya kuforce towers while basic sectors hazijakaa sawa.
 
Naona nabishana na TUTUSA.
Ubora wa klabu unalinganishwa na level ya mashindano ambayo klabu imecheza.
Arsenal kafika nusu fainali ya KLABU BINGWA ULAYA.
Unafananishaje na westham popoma wewe!?View attachment 3069402
Arsenal ishaiwin trophy gani in Europe?
Hapo ndio tumeingia kwenye train bado watu Wanaingia wengine wako kwenye ticket check chizi ww😂😂😂😂😂

Unaumia Sana na mm ndio furaha yangu
So watu wanapewa Juice na Korosho before train iondoke? Tafuta watu wa kudanganya😂😂😀
 
Back
Top Bottom