Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkenya akiri hakuna slums Tanzania asema masikini wa Tanzania anaishi vizuri kuliko middle class wa Kunyaland asema nyumba zote Tanzania ni za matajiri Kunyaland 😂😂😂

Wakenya wachanganyikiwa na Tanzania mmoja anasema anataka kuhamia Tanzania mwingine anasema kipindi wamekuja na wazazi wake wali tafuta mpaka shule wahamie Tanzania,

View: https://youtu.be/DFSmUvVFedE?si=l6VuYMzDN_wFNIff

Kijana mdogo wa miaka 25 amekuja Bongo amejenga nyumba kali kushinda hata maceleb wenu na ameanzisha biashara alafu anawachocha mnaona mmefika? 🤣 🤣 🤣 Unajua kitu kinaitwa marketing? Ukienda kwa watu kufanya biashara you make them feel special, hapo watanunua bidhaa zako kama upuzi. Ndio maana tunainvest kwenu, huku kwetu labda hao mabillionea wenu wahindi na Waarabu ndio wanaweza piga investments. Nyinyi weusi hamjui biashara.🤣 🤣

Alafu kuna vitu hujasema.
1. Pale aliposema Wabongo hawajui Air BnB ni nini (12:46). bado mko nyuma sana ya nyakati.
2. Hapo Bongo wanatambua Wakenya, they believe Kenyans have a lot of money. (17:46)
3. In Arusha, there are many buildings owned by Kenyans. (20:06)
 
Kijana mdogo wa miaka 25 amekuja Bongo amejenga nyumba kali kushinda hata maceleb wenu na ameanzisha biashara alafu anawachocha mnaona mmefika? 🤣 🤣 🤣 Unajua kitu kinaitwa marketing? Ukienda kwa watu kufanya biashara you make them feel special, hapo watanunua bidhaa zakp kama upuzi. Ndio maana tunainvest kwenu, huku kwetu labda hao mabillionea wenu wahindi na Waarabu ndio wanaweza piga investments. Nyinyi weusi hamjui niashara.🤣 🤣

Sheria zetu sio za kipuuzi kama zenu, hakuna mgeni kumiliki ardhi, kama haumiliki ardhi hiyo nyumba kajenga angani auu, tumia akili usitumie mata.k.o kufikiri.
 
Sheria zetu sio za kipuuzi kama zenu, hakuna mgeni kumiliki ardhi, kama haumiliki ardhi hiyo nyumba kajenga angani auu, tumia akili usitumie mata.k.o kufikiri.
Hivi hili jengo mmiliki wake ni Mtanzania? Kwanza kuna 5-star hotel hapo Bongo inayomilikiwa na Mtanzania?
Usidhani Wakenya ni bongolala kama nyie.

OIP.Nihr88w_OePVhPrzme22DAHaEK
 
No wonder watu wanaopt kulala chini……nimesafiri na SGR usiku sijaona a single person hata anataka kulala zaidi ya a little nap kwenye seat, sasa hao jamaa zetu safari ya masaa 4 behewa zima limechoka mbaya mpaka watu wanalala sakafuni tells a lot about how discomfort that train is……..yaani unalala chini mahala ambapo kila mtu anakanyaga kwa safari ya masaa 4 tu? Aisee hii ni ngijangija kweli😂😂😂
Hilo nginanginja linakuchekecha hadi ufike unaumwa kila sehemu, plus vumbi na kunguni kwa uchafu wa wakunya na vyoo visivyo na maji,
When boarding kunyan old fashioned coaches lazima uwe na some strong NSAIDs kama vile Tramadol iv au morphine. Umeona kwenye comments wanaamua kulala kwenye sakafu kuliko kukaa kwenye kiti sababu wanasema hako kakiti ni kagumu balaa 😀😀😀
9464EF94-2836-4B1D-B907-FCF4C3F878FB.jpeg
 
Sheria zetu sio za kipuuzi kama zenu, hakuna mgeni kumiliki ardhi, kama haumiliki ardhi hiyo nyumba kajenga angani auu, tumia akili usitumie mata.k.o kufikiri.
We pimbi, sheria zingine hua za kuliwaza watu maskini kama wewe. Waarabu wanamiliki Ngorongoro na wanafanya vile wanataka hadi wakawafukuza wamasaai wenye walikua wanamiliki ardhi huko.
 
Kijana mdogo wa miaka 25 amekuja Bongo amejenga nyumba kali kushinda hata maceleb wenu na ameanzisha biashara alafu anawachocha mnaona mmefika? 🤣 🤣 🤣 Unajua kitu kinaitwa marketing? Ukienda kwa watu kufanya biashara you make them feel special, hapo watanunua bidhaa zakp kama upuzi. Ndio maana tunainvest kwenu, huku kwetu labda hao mabillionea wenu wahindi na Waarabu ndio wanaweza piga investments. Nyinyi weusi hamjui niashara.🤣 🤣

Alafu kuna vitu hujasema.
1. Pale aliposema Wabongo hawajui Air BnB ni nini (12:46). bado mko nyuma sana ya nyakati.
2. Hapo Bongo wanatambua Wakenya, they believe Kenyans have a lot of money. (17:46)
3. In Arusha, there are many buildings owned by Kenyans. (20:06)
Huyo kijana unajuaje si Mtanzania?
 
Umepewa hiyo statistics umeiona unauliza maswali ya kiduwanzi.
Nenda kafuatilie kwa ngazi za klabu kati ya Uefa champions league Na conference league aliyoshinda huyu Westham ipi ligi kubwa na ya kiwango cha juu.
Arsenal ishaiwin trophy gani in Europe?

So watu wanapewa Juice na Korosho before train iondoke? Tafuta watu wa kudanganya😂😂😀
 
Back
Top Bottom