Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona mnakuaga concerned na Tanzania kuliko hata nchi yenu?
We must be concerned when our neighbors are doing badly😂😂🤣.

Tanzania is the only Kenyan neighbor with no Olympic medal in the past 40yrs😂😂🤣
 
Na ndio bado Gor Mahia ikishika hao akina Simba na Yanga Gor inawanyorosha kweli kweli😂😂

Yanga inafungwa hadi na Kariobangi Sharks😂😂
Mechi ya 2019 unailetaje 2024!?
Uwe unajielewa wakati mwingine.
Hiyo Yanga unayoisemea imemfunga Kaizer Chiefs ambaye wewe timu zako za Kenya hakuna inayoingia kiubora.
Imemfunga CR belouzdad bingwa wa ALGERIA goli nne.
Wewe unataka kuropoka nini!?
 
Kenya obviously.
😂😂😂😂😂😂😂😭😭🍑🍆🍆 Taja idadi yao huko Kenya na mimi nitaje idadi yao wa Tanzania.
Tanzania kuna hadi wachezaji toka Colombia na Brazil.
Hapa Afrika ndio usiseme tumekomba wachezaji kila eneo.
 
Tumekutana lini kwenye mechi moja sisi na nyie.? 😂😂😂
Tanzania is Kenya wife when it comes to football.😂😂🤣👇👇

IMG_0466.png
 
Mbona Nigeria nayo imetokea kapa. Umeiona Tanzania tu kwa sababu unaiogopa, ha ha ha😎😎😎
Why should I get concerned about Nigeria, a country in west Africa? I should only get concerned about my neighbours. If anything, Nigeria has been winning medals at the Olympics, even in the last edition. Can the same be said about you? When was the last time Tanzania won an Olympic medal?

Alafu niongope Tanzania kwa lipi? Nchi bayo haijulikani kimichezo niiogope mimi? Una kichaa wewe?
 
Huijui wewe.
Tanzania inajulikana kama taifa linalokua kimpira wa miguu hapa Afrika.
Ndio maana hata michuano ya ufunguzi wa African Football League Infantino alipendekeza Tanzania pale walipokua wanachagua nchi ya ufunguzi.
Hadi Arsene Wenger alihudhuria ufunguzi wa hayo mashindano.
Na hadi LALIGA ilikuja kuwekeza kwa Yanga yenyewe baada ya kuona ukuaji wa mpira wa miguu Tanzania.
Ndio maana unaona hadi raia wa South America wanakuja Tanzania kucheza mpira kwasababu ya kujulikana Ligi kuu ya Tanzania duniani.
Wewe ndio huijui kimichezo kwa roho chafu yako.
 
We must be concerned when our neighbors are doing badly😂😂🤣.

Tanzania is the only Kenyan neighbor with no Olympic medal in the past 40yrs😂😂🤣
Labda Olympic committee waweke michezo za ushirikina, umbea, uchawi na mambo kama hayo wenzetu wanawezashinda medali
 
Back
Top Bottom