Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akili za mtanzania will leave you surprised 😂😂
Mimi nadhani jamaa atakuja na vitu kama camera quality, internet speed, durability, screen resolution, processor, battery life, fast charging, design n.k jamaa ananiletea sales. 😂😂😂
 
Cha ajabu ni kwamba watu wanazinunua. And this is evident by the number of highrise buildings sprouting up in this area. Says a lot about kenyans' purchasing power that we've always talked about it but you keep dismissing
View attachment 3065613
Upper Hill is the most expensive square mile in East and central Africa so what do you expect?
Watu wananunua lkn sio wewe wala nyie wakenya wa humu, wote nyie mnaishi kwenye mabati na ma slums.
 
Huu mradi pacha wa Mobius less than 50 buses zimeuzwa!
Ati 50 buses? Unazeeka vibaya mzee. Mwaka wa 2022 pekee ndio hizo 50 buses ziliuzwa na ndio mwaka wa kwanza Basigo wanatengeneza basi Kenya. Yani mwaka wa majaribio 50 buses ziliuzwa. Sahii several matatu Saccos wanaplan kuenda 100% electric . Soon BasiGo might not even manage to deliver all their orders, another electric manufacturer will have to come in.😂😂🤣
 
Mita 100,000 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio wanakuja kutupigia kelele humu. Mtu unakimbia mita 100,000 umekuwa mnyama? 😀 😀 😀.

Kwenye modern world ya science and technology wanafukuza upepo.

Watuambie technology ipi inaweza kutumika to modernize mbio
 
from Kundustan Teargas
Mpaka mavi ya wazungu yanatoka kwao
We don’t deal with Chinese mikebes unless it’s assembled in Kenya that’s when we can use them.

Chinese electric buses assembled in Kenya by KVM.
View attachment 3066478
View attachment 3066479
View attachment 3066480
View attachment 3066481
Sikia hii mbwa eti we don't deal with Chinese bus yet ni Chinese company owned by china 😂😂😂

Acha Tu nicheke mpaka SASA bus ngap mchina amesha assemble hapo nasubiria majibu 😂😂😂😂 kwaheri Möbius
 
Ati 50 buses? Unazeeka vibaya mzee. Mwaka wa 2022 pekee ndio hizo 50 buses ziliuzwa na ndio mwaka wa kwanza Basigo wanatengeneza basi Kenya. Yani mwaka wa majaribio 50 buses ziliuzwa. Sahii several matatu Saccos wanaplan kuenda 100% electric . Soon BasiGo might not even manage to deliver all their orders, another electric manufacturer will have to come in.😂😂🤣
leta facts!
 
Back
Top Bottom