Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Ku receive sio Kutengeza buda, hata Möbius walipata order ya gari nyingi haya kiko wapi SASA si hao washafunga na wameondoka 🤣🤣
Atacheza wapi kama sio Tanzania?? Kenya kuna mpira ikiwa hata Choo cha ofisi kinawashinda ng'ombe nyinyi😂😂😂😂😂😂Wanasema hatujui Mpira yet we defeat them anytime Kenya meets Tanzania😂😂🤣
Ati Kenyan reject is now the superstar and face of Tanzanian league 😂😂
View attachment 3066649
Pitia comments utacheka 🤣🤣🤣
View: https://x.com/duwadh/status/1822326561669886361?t=XFNE4_4kEuT_FhsQnn1gwA&s=19
They are 2yrs old. Imagine 2yrs 100 buses already assembled and others exported to Rwanda😂😂🤣👇👇
View attachment 3066678
I can see Kenya hakuna Mpira😂😂🤣👇👇Atacheza wapi kama sio Tanzania?? Kenya kuna mpira ikiwa hata Choo cha ofisi kinawashinda ng'ombe nyinyi😂😂😂😂😂😂
Kwa mishahara gani aje acheze Kenya huku kuna MVP WA ivory coast watu wamesajiliwa Tanzania Simba na yanga kuna mpaka wachezaji kutoka Colombia zaidi ya watutu😂😂
Ku receive sio Kutengeza buda, hata Möbius walipata order ya gari nyingi haya kiko wapi SASA si hao washafunga na wameondoka 🤣🤣
Order is another thing and to deliver ni kitu tofaut kabisa 😂😂😂😂😂😂
Next we will export them to Tanzania. This is Rwanda🤣👇👇Kutoka April 2021 mpaka SASA ni miaka mingap ?? 😂😂😂😂 Alaf hebu nambie so far Rwanda wamenunua bus ngap?? Ikiwa kwenu tu 100 hazifiki
Na ndio bado Gor Mahia ikishika hao akina Simba na Yanga Gor inawanyorosha kweli kweli😂😂Kwa mishahara gani aje acheze Kenya huku kuna MVP WA ivory coast watu wamesajiliwa Tanzania Simba na yanga kuna mpaka wachezaji kutoka Colombia zaidi ya watutu😂😂
Mpira SASA hvi ni biashara mzee baba
Are they aware these buses are actually designed in Kenya? Hawajiulizi kwa Nini they're beautiful unlike those ugly Golden Dragons of theirs? 😄 😄
Zile Golden Dragon zao huwa refurbished and that’s why you will never see those buses in road after 2yrs of operation. They usually stall😂😂Are they aware these buses are actually designed in Kenya? Hawajiulizi kwa Nini they're beautiful unlike those ugly Golden Dragons of theirs? 😄 😄
Gor mahia ina budget gani, mchezaji ghali Gor mahia analipwa bei gani?? Nioneshe ofisi ya Gor mahia au Choo wanachotumia wafanyakazi WA Gor mahiaNa ndio bado Gor Mahia ikishika hao akina Simba na Yanga Gor inawanyorosha kweli kweli😂😂
Yanga inafungwa hadi na Kariobangi Sharks😂😂