Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ardhi haitakiwi kuwa na bei kubwa kiasi hicho mkuu.
AISEE
Cha ajabu ni kwamba watu wanazinunua. And this is evident by the number of highrise buildings sprouting up in this area. Says a lot about kenyans' purchasing power that we've always talked about it but you keep dismissing
IMG_4804.jpeg

Upper Hill is the most expensive square mile in East and central Africa so what do you expect?
 
Cha ajabu ni kwamba watu wanazinunua. And this is evident by the number of highrise buildings sprouting up in this area. Says a lot about kenyans' purchasing power that we've always talked about it but you keep dismissing
View attachment 3065613
Upper Hill is the most expensive square mile in East and central Africa so what do you expect?
WATU hununua jengo zima ama kipande cha jengo!?
 
Don't tanzanians lease land from the government for a period of either 66 years or 99 years renewable? Say no I prove you wrong
Huko ndio kukodi ardhi!?
Hiyo ni sera ya ku renew hati miliki.
Na kuna sababu ya kuweka hiyo sera.
Sababu moja wapo ni uendelezaji wa ardhi na uepukaji migogoro ya ardhi na uhakiki wa kukusanya kodi ya ardhi.
Usiongee tu bro pasi na kujua.
 
Nenda ukapige kelele kwa maskini wenzako. Fukara hii, real price in Tanzania Apple Store

View attachment 3065629
😂😂😂😂😂😂 Tena simu enyew unatumia ni 64 GB, used phone. To be fair hiyo price yako haiwezi vuka 300k Tz money kwa bei za kariakoo .. it’s no longer in the market due to it’s storage capacity. 😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂 Tena simu enyew unatumia ni 64 GB, used phone. To be fair hiyo price yako haiwezi vuka 300k Tz money kwa bei za kariakoo .. it’s no longer in the market due to its storage capacity. 😂😂😂
Unalia ukiwa wapi?😂😂🤣👇👇

IMG_0461.jpeg
 
Sasa mbona unaonionesha majengo!?
Je maskini wa chini kabisa ana uwezo wa kumiliki ardhi kubwa tena kwa kuinunua Kenya!?
It's evident hauelewi points zangu. I posted a screenshot showing prices of land in upper Hill ukasema ardhi haifai kuwa hivyo gali. Nikakujibu kwa kukuambiwa hivyo ndivyo hali ilivyo na kwamba cha kushangaza ni kwamba watu wananunua arhi upper Hill despite the high prices na kuzidevelop. Hapo ndio nikakupatia picha ya majengo yanayojengwa upperhil from obviously ardhi zilizonunuliwa licha ya bei ya juu. Ni nini haukuelewa hapo?

Lastly, price of land is determined by location. I know if so many places in rural kenya where an acre of land gos for as little as 200k. Sasa mtu wa chini hawezi afford that price?
 
Back
Top Bottom