Sijasema Google pixel ni simu ya hovyo hiyo ni kauli yako Buddah.Sawa, umeshinda. Google Pixel ni simu ya ovyo.😂😂😂
Ila Google pixel haipo katika top 5 ya simu bora kiufanisi duniani.
Sijasema Google pixel ni simu ya hovyo hiyo ni kauli yako Buddah.Sawa, umeshinda. Google Pixel ni simu ya ovyo.😂😂😂
There's what you want to believe and there's the truth. You put too much value on land yet the land owners you speak of look like this. SA HDI is 0.717 while Tz HDI is 0.532. Bro, it doesn't matter how much land you own but what kind of life the land you own is giving you."you and I know the average South African is way better off than the average Kenyan and Tanzanian." This assumption derives from low self-esteem.
Average Tanzania owns the land and has the constitutional right to be given land for agricultural purposes, also the government has set aside many areas for mining and any young man has permission to go and earn his livelihood there.
Average South African is jobless, hopeless, owns nothing like Kenyan and has nowhere to start. How is average South African better off than Tanzanian?
Bro unataka kusema Kenya hakuna WATU wa hali hii!?There's what you want to believe and there's the truth. You put too much value on land yet the land owners you speak of look like this. SA HDI is 0.717 while Tz HDI is 0.532. Bro, it doesn't matter how much land you own but what kind of life the land you own is giving you.
View attachment 3066383
Swala ni kuwa umiliki wa resource kwanza, nini anafanya na ardhi anayomiliki ndio tatizo kwa wengine. Kukosa akili za kutumia rasilimali zake, lakini nyie na hao Wasouth hata pakuanzia hamna.There's what you want to believe and there's the truth. You put too much value on land yet the land owners you speak of look like this. SA HDI is 0.717 while Tz HDI is 0.532. Bro, it doesn't matter how much land you own but what kind of life the land you own is giving you.
View attachment 3066383
Sina time bro. Have a good night.😂😂Swala ni kuwa umiliki wa resource kwanza, nini anafanya na ardhi anayomiliki ndio tatizo kwa wengine. Kukosa akili za kutumia rasilimali zake, lakini nyie na hao Wasouth hata pakuanzia hamna.
Nyie ni mafukara wa kutupa! You can't own anything kwakua tayari you are owned na kusubiri baraka za mzungu kukuajiri ndio only gateaway ya chakula.
Sijui shida yako huwa ni kusoma, kuelewa, inferiority complex ama ni ubishi tu. Rudia kusoma nilichoandika utaelewa.😂😂Bro unataka kusema Kenya hakuna WATU wa hali hii!?
Hawa si wanaishi rural areas!?
Kwa hivyo hii ni Azam?😂😂Cha ajabu Azam media group ipo Kenya lakini hizo takataka house media hazipo popote Afrika mashariki
Ebu tuonyeshe losses za Royal Media and Nation Group.The biggest while minting losses!
Nimeuliza mbona unarudi na personal attack!?Sijui shida yako huwa ni kusoma, kuelewa, inferiority complex ama ni ubishi tu. Rudia kusoma nilichoandika utaelewa.😂😂
The post is straightforward, kama huwezi ielewa ilivyo sidhani Kuna usaidizi naweza kupea usaidike.Nimeuliza mbona unarudi na personal attack!?
Jibu au mueleweshe mtu,shida iko wapi mazeh!?
Tanzania imetenga maeneo mengi sana ya machimbo ya madini kwa vijana na pia inatoa msaada mkubwa kwao wa vifaa na ni bure kujiunga na kujimbimbia. Lakini vijana wetu wazembe utakuta wapo tu wanazurula bila shughuli.Sina time bro. Have a good night.😂😂
Basi huwenda wewe ndio hujaelewa nilichouliza wacha nikuache.The post is straightforward, kama huwezi ielewa ilivyo sidhani Kuna usaidizi naweza kupea usaidike.
Mada yetu haikuanza kwenye real estate ownership, kulingana na picha za lower class zinazowekwa humu meaning tunadiscuss lower class.
Hujanielewa, nimesema your data is inconclusive because umepost data ya Kenya pekee wakati unafanya comparison between Kenya na Tanzania. Ni kama kusema I am better academically than you because you got a D in your exams.Ownership ya real estate ni decision inayokuja kiuchumi, if you argues that That France na SA wanaishi like Kenya so nothing new. Kukuprove tofauti ya Slums definition and percentage of population ambayo inaonesha you Can't compare them to justify yourself (which I proved)
Umeita kishirika wakati kuna mbili nimeweka moja ya UNHABITAT, na hiyo ya kishirika wamequote World Bank.
Gap Between poor and rich ni kubwa meaning sio rahisi kuupgrade life ukiwa lower class hapo, meaning kuown real estate sio rahisi ndio maana population kubwa ipo slums na it will remain there, umesema it changes every year, sidhani kila mwaka mnafanya Maandamano kisa ugumu wa maisha, yaani.mpaka seriakali inawawekea Ruzuku.
In common sense ikiwa una maisha hayo ya kuwekewa ruzuku kwenye basic needs how you build mansion, how will you buy Land (Shamba kwa tafsiri yako).
Na pricing uliyoweka ni kubwa considering hadi basic needs zikipata inflation mnaingia barabara nikupinga.
Sikatai another percentage inamudu kirahisi, but our argument should base on the lower ambao tunakua tunawekeana hapa picha kupigana spana.
I wanted to prove
1. Different between Slums and Unplanned settlement. (Mna slums we have Unplanned settlement)
2. Lower class haina muscle wa kumiliki real estate so casually like you put it here
3. Economic decisions ambayo inakuja pale mtu akifanikisha kitu including Housing inakua affected na Inequalities.
I hope umeeelewa nilichomaanisha.
By the Way shamba ni acres of land here nje ya mji aka farm.
Wewe ichoboy01 mbona unaniangusha hivi?😂😂🤣 Sasa burger na chips ni kitu ya kuwekea watu kwa social media?😂😂.Teargas njoo ule najua Una njaa🤣🤣🤣
View attachment 3066358View attachment 3066359View attachment 3066361
Akili za mtanzania will leave you surprised 😂😂Kwa hivo Rolls Royce ni gari la ovyo kisa haliingii kwa gari zinazoongoza katika mauzo? Patek Phillipe ni saa ovyo kisa haiingii kwa saa zinazoongoza katika mauzo? A380 ni ndege ovyo kisa haiingii kwa ndege zinazoongoza katika mauzo?😂😂 Bro, nenda kaone daktari.😂😂
Ukiweza kutuonesha facilities kama hizi tutaanza kukuona wewe upo seriousRoyal media Group is the biggest media in East Africa followed by Nation media Group then Standard Group. Azam can’t even appear in top 10 huku Kenya.