Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umechange gear, ulikusema ati hiyo body sio ya Kenya. More painkillers πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Soma hapo nyuma uniambie imeqndikwaje?πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3065997
Narudia kukwambia usiseme imetoka Kenya sema body imetengezwa Kenya lakini kila kitu ni import from china hata material za body zinatoka china πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna chasisi assembly plant in Kenya na hautapata unless hujui maana ya chassis kondoo wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nenda AVA and KVM utapata chassis ziko assembled hapo which are then sold to Tanzanians πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

1723281140334.jpeg
 
Narudia kukwambia usiseme imetoka Kenya sema body imetengezwa Kenya lakini kila kitu ni import from china hata material za body zinatoka china πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Imetengenezwa Kenya and you can cry if you likeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

By LSHS
1723281268439.jpeg


By Banbros
1723281354518.jpeg
 
Hakuna kiwanda cha kutengeza chassis Kenya na hakitakuwepo mpaka kiyamaπŸ˜‚πŸ˜‚

Narudia tena hautapata chassis assembly plant Kenya mpaka kufa, unafkiri kuunda body ndio kuunda chassis πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kipo mkuu kile cha BJ 60 na nyayo cars 🀣🀣🀣
 
Mbona likuwe Nairobi? Ni kipi unaogopa? 🀣 🀣
Si kila siku tunawaambia humu Dar City ni kubwa kuliko Nairobi city kisa Dar City boundaries ni pana ila ukichukua built up metropolitan area Nairobi ni kubwa na kila siku mnakataa, sasa mbona tukiwaonesha sehemu za Nairobi Metropolis ambazo hazipo within Nairobi County mnaogopa? Yet hizo sehemu zimejengwa na kupangika vizuri kuliko mitaa yenu ya kifahari.

Kwa sasa jiji la Nairobi limekuwa sana. Within Nairobi kupata shamba ni vigumu na shamba lenyewe ni expensive na ukipata huwezi ukajenga mansion maanake haitamake economic sense. Wanaonunua mashamba within Nairobi ni developers na akinunua shamba lililo na mansion, hiyo mansion inakula nyundo panajengwa apartment ya 20 floors. Hapo Kilimani miaka 15 nyuma palikuwa mansions tupu, sahii ni apartments. Ukitaka kujenga mansion kwa sahii lazima uende nje ya Nairobi County. Na nikisema nje ya Nairobi County usidhani ni mahali pa ovyo. Ni mahali kama Kahawa Sukari, Membley, Kitengelea n.k ambapo kwa mipangilio na miundo mbinu pameshinda estate zenu za kifahari zilizo within Dar kama Mbezi na Mbweni.
Bei ya shamba sio sawa kila mahali, bei inalingana ni wapi unanunua shamba na miundombinu ya hiyo sehemu iko vipi. Kwa sasa wanaotaka kujenga mansions Nairobi wananunua mashamba sehemu za mbali kama Lukenya, Isinya, Juja, Kiserian, Limuru n.k na za karibu kama Membley, Syokimau, Kahawa Sukari, Tatu City n.k. Bei ya shamba inavary kuanzia KES 500K - KES 5M kwa ploti ya 50 x 100ft. Ndani ya Nairobi bei ipo juu sana kwa sababu huwezi pata ploti ambayo haina nyumba na pia miundombinu iko sawa na kuna ukaribu wa CBD. Hapa ukinunua shamba unanunua na nyumba iliyoko ndani yake uipige nyundo ujenge apartment yako ya 20 floors uuze. Bei utapata kuanzia millioni 20 kuendelea.


Hata shamba likiuzwa shillingi elfu 20 bado kuna watu ambao hawatoweza kuafford. Humu humu most of you guys don't own land in Dar yet I believe you're among the better off Tanzanian.


You're simply explaining why your city is poorly planned, you're not denying it kwa hivo umekubaliana nami.


Nyumba yoyote inaweza ikakuwa improved. That doesn't change the fact that 80% of your city consists of poorly constructed structures.


We are the EA powerhouse, that's true. We have poor people, that is also true. Even South Africa is the African powerhouse na wana nyumba za bati. Even France and US kuna nyumba za bati.

Hili ni lenu mnalofosi otherwise Kenyan cities just have as many slums as the ordinary third world city but if you keep on deceiving yourself that Kibera, a tiny place of 2.5 sq. km has 2 Million people despite being proved wrong a million times you will live your life believing Nairobi is the capital of slums.

Hii video, nilikuwa nimeenda Syokimau kutafuta shamba la kununua nijenge. Nilikuwa nauziwa 800k per 40 x 80ft. Nilikuwa nimechukua ploti mbili (KES 1.6M) nikalipa 10% (160k) ila baadae hatukuelewana na mwenye alikuwa ananiuzia ikabidi anirudishie pesa yangu. Hili ni eneo ambalo 10 years ago waliishi wild zebras yet kwa sasa limejengeka mamansion tupu ukiangalia kwa horizon unaziona.


View attachment 3064379
I like the way you explaining things. Thanks. comment zetu ni muendelezo wa argument ya Nixcie, na ilibase Dar Es Salaam Real estate, Ndio imetufikisha humu.

So I wanted to ask the pricing ili nijue your statement ya kununua mashamba na kugeuza mansion ni valid (I have learned something new).

40x80ft kwa 800k Ksh Porini? I mean ipo another County nje ya Nairobi equivalent to Kibaha kama sijakosea.
Can lower class Kenya afford?

Kingine kiongozi mbona unasingizia Slums kila jiji wakati slums zina maana yake, Unplanned settlement ina maana yake the are not the same

1000105392.jpg



Mipango miji wamefeli DAR yeah that's fact ndio maana hawataki kurudia DODOMA CITY.

Hiyo niliyobold hapo juu I don't think you guys humu mnaifahamu alafu since when FRANCE inawekwa mfano mmoja na KENYA kwenye Settlement?

France na SA hawana over 50% ya population living in Slums, and having that number meaning mna land issues (They can't afford to turn the damn mansion πŸ˜‚)

1000105394.jpg

1000105396.jpg



Imagine asilimia zaidi ya 50% wako on 6% of Land damn, what it imply on Real Estate to you?

Kama wewe ulivyosema mna poor people ambao namba yao ndio hiyo over 50% please understand na sisi tuna hell of well off.

Kumbuka tuna Low Inequality rate which means muda wowote mshare unaturn

1000105397.jpg




Naona unaweza ona hawa lower wetu wana chance ya kuturn life around than hao wenu ambao wamestuck kibera.

Apartment inakua ndoto yao, please nishaweka data usiniletee wale walio off that percent kwamba wanaweza miliki apartment fulani as representative of majority ya over 50% ambao hata Bongo wapo.
 
Back
Top Bottom