Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I bet hujaisoma yote, umeibeba hivyo hivyo. It's great now tunapambania mali zetu.

Kuna vitu hapa Tanzania huwezi jimilikisha full hata iweje hasa ukiwa mtu wa nje.

ARDHI

Hakuna mwenye sovereignty ya ardhi only URT.

Baada ya Magufuli kuingia alipitisha another thing huwezi kuwa na total sovereignty navyo permanent.

NATURAL RESOURCES

Hiyo Gas imefall hapo na sheria ipo wazi kama mwekezaji anaonekana hanufaishi nchi anapaswa kuondolewa.

Kuna vitalu serikali ilisitisha kutoa kwa wawekezaji baada ya kuona madudu mengi hadi wafanyie upembuzi upya.

Na hiyo sheria ipo wazi ukiwa na ishu na Tanzania Natural Resources unapaswa kuipeleka mahakama za ndani not otherwise.

Shida ya kujivika uchawa na kutaka kufuta Legacy kuliwafumba macho kupuuza hii important Law hata kutaka kuiondoa.

Hapo wakikaza hakuna hela inapotea sheria inawalinda unless wapeleke vilaza au kushirikiana ili kupindisha sheria wapate 10%.

Bila hivyo hizo hazilipwi trust me.
 
Unapoteza muda mwingi ku pump sense kwenye brains za hizi kima humu. Elimu unayowapa Inaingilia sikio moja na kutokea upande wa pili akili zao haziwezi kuchakata ukweli ndio maana unaona humu ndani huwa wanabisha vitu vya hovyo kabisa.
Yeye mwenyewe ameona sense yangu na akakiri nimeeleza mada yangu vizuri japo hajakubaliana na vitu mbili tatu maanake ni mtu mwenye akili. Hapa ni mjadala wa wenye akili, wewe ndio mbumbumbu. Kaa kando wenye akili wajadiliane.
 
Kariobangi Sharks reject is the new hero of Yanga😂😂😂

View: https://x.com/TeyaKevin/status/1821936681546883118

Maneno ya mkosaji.

Mnakumbuka niliwaambia huyu Duke watamletea maneno ndio haya.

Imagine kipindi yupo Ihefu ukiwapelekea wanasema Nobody know him ila aliitwa timu ya Taifa kutoka IHEEEEFUUUU seriously na yupo anamuita Reject.

Bila yeye mshingeshinda ule mtanage na BURUNDI remember kijana.
 
Hii ni story ya jiwe walilolikataa waashi.
 
Kwa muelekeo huu,27T ni uhakika ila malengo ya 30T lazima yafikiwe 👇👇

View: https://twitter.com/millardayo/status/1822186508209586201?t=OwoRuE3clBxewnyouE8ovA&s=19

Alafu baadae tukuone unaleta kelele kwenye SGR iliyojengwa miaka kadhaa kisa imekula matrillion.

Mwambie mama akate hapo 500B kila mwezi muwe mnajenga barabara Expressway Dar-Dom ya njia Tatu hatua kwa hatua.

Mkandarasi anafikisha.milestone mnamlipa kila mwezi 500B, uone kama Miaka 6 nchi haijajaa barabara.

That's how Mzee alikua anafumua miradi mikubwa mikubwa bila kuzunguka na bakuli.
 
Bro, your first quote is a blog done by an NGO. The blog is not comparative. You can't use a single blog talking about Kenya only to say, Tanzania is better than Kenya. You need real data by the same organisation giving real statistics comparing the two countries.

Your second quote is a statistic by a business paper mentioning the gap between the rich and poor IN KENYA widened in a given year.

1. There's no similar statistic for Tanzania to compare with.

2. That's a one year trend. Trends change every year, the gap might widen this year, reduce the next.

3. Just because it widened in 2021 doesn't mean Tanzania's poor are better off than Kenya's poor. It also doesn't prove Tanzania's gap is smaller than Kenya's. Remember, the year is 2021 when the whole world experience a widened gap between the rich and poor due to COVID pandemic. The only difference is, such data in Kenya is easily accessible to everyone, you know Tanzania with it's authoritarian vibe. Again, your data is inconclusive.

Finally,
A country like SA has a wider gap between the rich and poor than both Tanzania and Kenya but you and I know the average South African is way better off than the average Kenyan and Tanzanian. Again, your data doesn't prove anything.
My data Don't prove anything? Aseee
 
"you and I know the average South African is way better off than the average Kenyan and Tanzanian." This assumption derives from low self-esteem.

Average Tanzania owns the land and has the constitutional right to be given land for agricultural purposes, also the government has set aside many areas for mining and any young man has permission to go and earn his livelihood there.

Average South African is jobless, hopeless, owns nothing like Kenyan and has nowhere to start. How is average South African better off than Tanzanian?
 
It's inconclusive. It doesn't prove what you're trying to argue.
Mada yetu haikuanza kwenye real estate ownership, kulingana na picha za lower class zinazowekwa humu meaning tunadiscuss lower class.

Ownership ya real estate ni decision inayokuja kiuchumi, if you argues that That France na SA wanaishi like Kenya so nothing new. Kukuprove tofauti ya Slums definition and percentage of population ambayo inaonesha you Can't compare them to justify yourself (which I proved)

Umeita kishirika wakati kuna mbili nimeweka moja ya UNHABITAT, na hiyo ya kishirika wamequote World Bank.

Gap Between poor and rich ni kubwa meaning sio rahisi kuupgrade life ukiwa lower class hapo, meaning kuown real estate sio rahisi ndio maana population kubwa ipo slums na it will remain there, umesema it changes every year, sidhani kila mwaka mnafanya Maandamano kisa ugumu wa maisha, yaani.mpaka seriakali inawawekea Ruzuku.

In common sense ikiwa una maisha hayo ya kuwekewa ruzuku kwenye basic needs how you build mansion, how will you buy Land (Shamba kwa tafsiri yako).

Na pricing uliyoweka ni kubwa considering hadi basic needs zikipata inflation mnaingia barabara nikupinga.

Sikatai another percentage inamudu kirahisi, but our argument should base on the lower ambao tunakua tunawekeana hapa picha kupigana spana.

I wanted to prove

1. Different between Slums and Unplanned settlement. (Mna slums we have Unplanned settlement)

2. Lower class haina muscle wa kumiliki real estate so casually like you put it here

3. Economic decisions ambayo inakuja pale mtu akifanikisha kitu including Housing inakua affected na Inequalities.

I hope umeeelewa nilichomaanisha.

By the Way shamba ni acres of land here nje ya mji aka farm.
 
Teargas njoo ule najua Una njaa🤣🤣🤣
20240810_202636.jpg
20240810_202642.jpg
20240810_202746_HDR.jpg
 
Usinifanye nicheke.😂😂
Sio nisikufanye ucheke that is a bitter truth.
Ndio maana hata katika mauzo hizo simu ndio zinaongoza.
Google pixel hata top 7 haiingii katika simu zinazoongoza katika mauzo.
Kama unabisha sema nilete ushahidi hapa.
Unafananishaje kiufanisi Google pixel na hizo simu nilizotaja hapo juu??
 
Kwa hivo Rolls Royce ni gari la ovyo kisa haliingii kwa gari zinazoongoza katika mauzo? Patek Phillipe ni saa ovyo kisa haiingii kwa saa zinazoongoza katika mauzo? A380 ni ndege ovyo kisa haiingii kwa ndege zinazoongoza katika mauzo?😂😂 Bro, nenda kaone daktari.😂😂
 
Kwa hivo Rolls Royce ni gari la ovyo kisa haliingii kwa gari zinazoongoza katika mauzo? Patek Phillipe ni saa ovyo kisa haiingii kwa saa zinazoongoza katika mauzo? A380 ni ndege ovyo kisa haiingii kwa saa zinazoongoza katika mauzo?😂😂 Bro, nenda kaone daktari.😂😂
Usifananishe magari,ndege na simu mpuuzi wewe.
Simu nyingi wanavyotoa orodha ya simu zenye mauzo ujue zinauzika kwasababu mbili,kwanza ubora na pili ni bei.
Ila kitu cha kwanza ni features za ile simu.
Ndio maana mwaka jana kama sijakosea au mwaka juzi Samsung Z fold 4 ilitangazwa kuwa simu bora yenye features nzuri kuliko simu zote duniani.
Na hilo lilianza kutokea 2018 ambapo simu tatu bora zilitangazwa kuwa Samsung,Huawei kesha ndio iPhone.
Na Huawei ilipokuwa inatangaza simu zao ambazo ndio za kwanza za 5G kuliko simu zote,Trump akaagiza Google ifunge huduma katika kampuni ya Huawei.
Ndio maana Huawei ikashuka ubora na kuporomoka katika mauzo.
Simu hizo huwa zinakuwa listed kwa ubora.
Huwezi fananisha Google pixel na hizo simu hapo juu HATA UPUNJE.
Huwenda ukanidanganya kote ila sio katika masuala ya simu.
Ufanisi wa simu ya chini kabisa ya Oppo A17k huwezi ukafananisha na ufanisi wa simu ya chini ya Google pixel ambayo ni 3.
 
Usifananishe magari,ndege na simu mpuuzi wewe.
Simu nyingi wanavyotoa orodha ya simu zenye mauzo ujue zinauzika kwasababu mbili,kwanza ubora na pili ni bei.
Ila kitu cha kwanza ni features za ile simu.
Ndio maana mwaka jana kama sijakosea au mwaka juzi Samsung Z fold 4 ilitangazwa kuwa simu bora yenye features nzuri kuliko simu zote duniani.
Na hilo lilianza kutokea 2018 ambapo simu tatu bora zilitangazwa kuwa Samsung,Huawei kesha ndio iPhone.
Na Huawei ilipokuwa inatangaza simu zao ambazo ndio za kwanza za 5G kuliko simu zote,Trump akaagiza Google ifunge huduma katika kampuni ya Huawei.
Ndio maana Huawei ikashuka ubora na kuporomoka katika mauzo.
Simu hizo huwa zinakuwa listed kwa ubora.
Huwezi fananisha Google pixel na hizo simu hapo juu HATA UPUNJE.
Huwenda ukanidanganya kote ila sio katika masuala ya simu.
Sawa, umeshinda. Google Pixel ni simu ya ovyo.😂😂😂
 
Back
Top Bottom