Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, wacha kujitekenya. Where did you read that Kenyans don't own land? Na hizi title deeds ambazo watu wako nazo ni dhihirisho ya nini? Unasema mkenya hamiliki land wakati wewe umekodisha ardhi kutoka kwa serikali huku mkenya anamiliki tena ako hadi na hatimiliki. Si unaona ujinga na ujamaa ilivyowapumbaza?
Hajui one of the reasons ya maandamano ya gen z ni introduction of hizo land ownership laws zao.😂😂
 
The power of bongo flava across the continent

Ni bongo flava pia imekipaisha kiswahili duniani mpaka kundustans wanaforce kiwe chao

Screenshot_20240810-080325.jpg
images (2).jpeg
images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom