I like the way you explaining things. Thanks. comment zetu ni muendelezo wa argument ya Nixcie, na ilibase Dar Es Salaam Real estate, Ndio imetufikisha humu.
So I wanted to ask the pricing ili nijue your statement ya kununua mashamba na kugeuza mansion ni valid (I have learned something new).
40x80ft kwa 800k Ksh Porini? I mean ipo another County nje ya Nairobi equivalent to Kibaha kama sijakosea.
Can lower class Kenya afford?
Kingine kiongozi mbona unasingizia Slums kila jiji wakati slums zina maana yake, Unplanned settlement ina maana yake the are not the same
View attachment 3066027
Slums and informal settlements hold a quarter of the global urban population, and they are absorbing the majority of urban growth in developing regions.
www.lincolninst.edu
Mipango miji wamefeli DAR yeah that's fact ndio maana hawataki kurudia DODOMA CITY.
Hiyo niliyobold hapo juu I don't think you guys humu mnaifahamu alafu since when FRANCE inawekwa mfano mmoja na KENYA kwenye Settlement?
France na SA hawana over 50% ya population living in Slums, and having that number meaning mna land issues (They can't afford to turn the damn mansion 😂)
View attachment 3066029
View attachment 3066028
SHOFCO Launches Multi-Pronged Effort to Defeat Covid-19 in a Vulnerable Community, taking measures to protect Kenya's slums.
www.rockefellerfoundation.org
Imagine asilimia zaidi ya 50% wako on 6% of Land damn, what it imply on Real Estate to you?
Kama wewe ulivyosema mna poor people ambao namba yao ndio hiyo over 50% please understand na sisi tuna hell of well off.
Kumbuka tuna Low Inequality rate which means muda wowote mshare unaturn
View attachment 3066035
www.oxfam.org
The gap between Kenya’s richest and poorest widened after a dip during the peak of the coronavirus pandemic.
www.businessdailyafrica.com
Naona unaweza ona hawa lower wetu wana chance ya kuturn life around than hao wenu ambao wamestuck kibera.
Apartment inakua ndoto yao, please nishaweka data usiniletee wale walio off that percent kwamba wanaweza miliki apartment fulani as representative of majority ya over 50% ambao hata Bongo wapo.