ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,902
Huwa naambia hawa wajinga ati wananunua chassis Kenya lakini hawaskii, ndio sasa wameimport buses without chassis ๐๐๐
View: https://x.com/PabloYende/status/1821890815372779880
Hakuna kiwanda cha kutengeza chassis Kenya na hakitakuwepo mpaka kiyama๐๐
Narudia tena hautapata chassis assembly plant Kenya mpaka kufa, unafkiri kuunda body ndio kuunda chassis ๐๐๐