Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Ushamba mwingi bro,pixel 7pro nayo simu ya kumtambia mtu kweli!Acheni battle za kitoto. Mbona wengine tunatumia simu za Tzs 250k na tuko poa tu? Back to Nai vs Dar
Aanhaa sawa nimekupata.Ni buffallo44 aliyesema Kenya ni matajiri pekee walio na uwezo wa kununua shamba, ila huo sii ukweli maanake Kuna sehemu wambazo watu wa kawaida wanaweza afford kununua. Na pia hapo Dar Kuna sehemu mtu wakawaida hawezi afford kununua shamba.
Jamaa alijiexpose vibaya sana😂😂.Wacha a nurse wounds.😂😂
Wewe umezoea kutumia vivo za 4k nyamaza.Ushamba mwingi bro,pixel 7pro nayo simu ya kumtambia mtu kweli!
Mkuu mbona maelezo yanajitosheleza!?Kuwa specific pia! Ardhi wapi?
In performance vivo iko juu kuliko Google pixel.Wewe umezoea kutumia vivo za 4k nyamaza.
Naona unatetea simu yako. By the way why would you say ViVO is better than Google Pixel? Ushaitumia Google pixel before?😂In performance vivo iko juu kuliko Google pixel.
Vivo ni simu ya 5 miongoni mwa simu bora zenye ufanisi duniani baada ya Samsung,iPhone,Oppo,Xiamo.
Wenzio wanaona sifa kusema ardhi kwao ni gharama, yn mtu upo kwenye nchi yako na huwezi kumiliki ardhi na unajisifia, wakenya ni wasenge sn aiseee, ndiyo maana huwa nasema waache wafe na waendelee kuwa na maisha magumu.Basi mna maisha bei ghali sana.
Tanzania ardhi ni kitu cheap kwa asilimia kubwa.
Huko kwenye ardhi bei kubwa ni sehemu za CBD na kwingine ambako miji ishajaa,na hununui ardhi kama ardhi yani labda ununue jengo uvunje upate ardhi.
Ila ardhi kama ardhi AISEE Tanzania ni bei rahisi.
Tunajivunia kwa hilo.