President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Issue za kujadili simu naona kama mada ya kitoto sana. And is too personal.
Kwanini mnapenda sana trivial information?
Kwanini mnapenda sana trivial information?
Simu umenunua ya maana.? Au bado unatumia kopo ukłuło nunua 500k Tz money.?😂😂😂Kijana Nenda ukacheze na maskini wenzako huko mbali.
Hao jamaa washamba sana,simu wanazijulia wapi!Wakenya wengi humu hawana simu nzuri, ndio mana hawapigi picha kwa simu zao, huwa wanachukua picha za mitandaoni, kuna waliojaribu kupiga picha kwa simu zao zikachekesha sn, so wakinunua simu mpya lazima wapost humu, hawa jamaa ni mafukara mnooo.
No one in your family can buy such phone. Hata mkiunganisha pesa mshaiguza Tangu mzaliwe bado hamueziinunua.Simu umenunua ya maana.? Au bado unatumia kopo ukłuło nunua 500k Tz money.?😂😂😂
Wewe umezoea kutumia vivo za 4k nyamaza.
Simu yako nanunua mbili 😂😂😂 mpumbavu wewe.No one in your family can buy such phone. Hata mkiunganisha pesa mshaiguza Tangu mzaliwe bado hamueziinunua.
Actually you are very backward. Wewe ushaiona any ipad ya 25k? Ama za Tandale?Simu yako nanunua mbili 😂😂😂 mpumbavu wewe.
Nyinyi ndio wale wa kuokota risiti, sindio?😂😂View attachment 3065662View attachment 3065663View attachment 3065666
Simu tu ya kawaida nimekuwekea na risiti angalia bei niliyonunulia hiyo simu then badilisha kwa kunyan money ili ujue bei ya hii simu inanunua simu kama yako 10
Hebu tuambie unavaa chupi ya how much?Nyinyi ndio wale wa kuokota risiti, sindio?😂😂
Nenda ukakufe mbali. This is apple Center Kenya.Simu yako nanunua mbili 😂😂😂 mpumbavu wewe.
Wewe enda ukaibe picha za wanaume wengine😂😂Hebu tuambie unavaa chupi ya how much?
We maku mafukara wapo kibera huko bwege ww
Hao mafukara wa Kibera wameshinda wakazi wengi wa Tanzania ikiwemo hao watatu nimetaja😂😂😂We maku mafukara wapo kibera huko bwege ww
😂😂😂 💩💩💩 poor boy. Nenda kanyambe mbeleActually you are very backward. Wewe ushaiona any ipad ya 25k? Ama za Tandale?
Acha kukwepa title yako ya umaskini😂😂. Mimi siringi kukula food za 120 bob kama wewe, na pia sinunui refurbished phones kama wewe😂😂😂😂😂 💩💩💩 poor boy. Nenda kanyambe mbele