Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duka ya mwarabu?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Now I know penye ulitoa pesa za Jana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Unauza kwa duka ya simu so yesterday after sales calculations ukaamua kuchukua pesa za mdozi upige picha hili upost hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
donโ€™t you remember this bedsheet.? ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
IMG_0656.jpeg
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hizi ni za jana ndio umepiga picha in a different angle. Alafu nikuulize kitu, Yani unakuanga tu na bedsheet moja? Cause i have seen this bedsheet somewhere before๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimekwambia usijilinganishe na mimi..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
Duka ya mwarabu?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Now I know penye ulitoa pesa za Jana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Unauza kwa duka ya simu so yesterday after sales calculations ukaamua kuchukua pesa za mdozi upige picha hili upost hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Anauzia mwarabu simu refurbished so anaona kila mtu ananunua simu refurbished. Yani simu tangu iwe launched mwaka mmoja haujaisha alafu upate refurbished?
 
Hiyo yako ya 2019 ndio used. Utapata wapi simu used model ya 2023? Alafu wewe ni muuza simu. Simu zilizoko dukani sii zako ni za bosi wako. Yani uuzie mwarabu simu alafu useme ni zako? ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
And i have evidence on the bolded part. Jamaa anauzia mwarabu simu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

IMG_0453.jpeg
 
And i have evidence on the bolded part. Jamaa anauzia mwarabu simu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

View attachment 3064426
Yeye ni wale majamaa wa luthuli ukipita wanakuvuta uingie ndani ujionee. Halafu kiduka chenyewe ni ovyo ukiangalia jinsi anavyofunganisha simu refurbished. Yani anapofanya kazi panakaa hivi. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ

1680938959090
 
Sawa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hizi zote ni stress ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Iโ€™m not of your level bro.
Of course sio level yako, simu yako ni KES 23K, yake ni KES 74k kwa sasa (bei ya awali ni 127k). mtakuwaje level moja? Yani mtu awe na stress kisa ana simu ghali kukushinda? ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ

screenshot-2024-08-08-110612-png.3064409
screenshot-2024-08-08-110643-png.3064411
 
Back
Top Bottom