Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Ruto ahakikishe anadondosha waandamanaji Kama 100 hivi!Wakat kesho tukiangali game ya yanga na simba ngao ya jamii basi jirani zetu watakua maandamano kutafuta ugali 😄
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1821003512139899093?s=19
Hapo kwenu media haiwezi uliza maswali kama haya. Hapo Kila mtu ni chawa.
Nyie maskini ndio zenu hizo.Hapo kwenu media haiwezi uliza maswali kama haya. Hapo Kila mtu ni chawa.
Sio lazima uwe fala. There's nowhere air bridges is needed by an airport in order to accommodate an A380 aeroplane. As long as the runway is 3000m and above, that's enough.Embu tuoneshe hiyo air bridge ya ku accomodate A380 tucheke kidogo😁
Jamaa amepost his entire savings akatoroka 😂😂🤣
Heheheeee kamkataa babaake 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣100%. Wako desperate mimi wananiokotea picha mitandaoni wanasema eti ni zangu eti nauguza babangu.. Yani wanafosi tufanane. 🤣
Hakuna jipya hapa ni kujifariji tu.Bado Kuna wenye wanajaribu kulinganisha Nairobi na takataka in the name of Dar is Slum.
Look at the number of upcoming buildings in Kilimani alone. Then someone will tell you that apartments za Nairobi are empty😂😂
View attachment 3064152View attachment 3064154View attachment 3064155
Unapiga kelele hapa na wezi wanaiba? Niskie tu kesho umefukuzwa job😂😂Hakuna jipya hapa ni kujifariji tu.
We jamaa unakuaga fala sana wakati mwingine!?😂😂😂😂😂😂😂😂Unapiga kelele hapa na wezi wanaiba? Niskie tu kesho umefukuzwa job😂😂
View attachment 3064170View attachment 3064171View attachment 3064172View attachment 3064173
Ipo Tanzania kabla haijafika KunyalandNa sio butter toast pekee. Wanapenda hadi Super loaf😂😂
View: https://x.com/Kishimba_Jr/status/1821086729459089700
Mbona kidogo hivyo? Kahama tu zipo zaidi ya 10Tanzania kuna zaidi ya Makapuni 20 yanayooka Mikate Msitusumbue na njaa zenu huko Kundustan
Na hawa watalii wengi almost 80% wanaotumia Arusha Airport wanatokea Zanzibar
Labda wanataka watu wengine wapande mabasi...maana wanawahurumia sana hao watu walioshindwa kuwa wabunifu..Kwanini TRC wasiongeze idadi ya trains kama abiria ni wengi kiasi hiki?
Hii ni ya kesho na imeshajaa
View attachment 3064253
Airlines huwa wanaangalia hizo facilities pia acha ufala.Sio lazima uwe fala. There's nowhere air bridges is needed by an airport in order to accommodate an A380 aeroplane. As long as the runway is 3000m and above, that's enough.
View attachment 3064150