Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I didn't want to engage him on matters mansions. Si unajua uwezo wao wa kuekewa ni ndogo? Nilitaka nimalizane naye on matters apartments kwanza ndio nimpeleke hayo maeneo ulyitaja nimuoneshe mansions
 
Unabishana na watu ambao ardhi kwao ni shida!?
Yani mtu anafosi vile Kenya inavyojiendesha kimakazi basi na Tanzania ijiendeshe hivyo hivyo.
Usipoteze muda wako kubishana nao mkuu.
 
L

Camera zote za nini Buddah!?
Umekua photographer au muandaaji filamu!?
Kila camera ina kazi yake. Hiyo Sony ni nzuri kuzoom nikitaka kupiga kitu Cha mbali picha na pia huwa nahire kwa watu wakifanya video za harusi. DJI ni nzuri nikirecord conversation (maanake ina feature ya kufuata uso wa mtu akisonga na mic yake wireless Iko poa) ama niweke kwa kioo Cha gari nirecord safari na pia huwa nahire watu wafanyie vlogging. Ya simu nayo it's the portable one. Hiyo natumia kama Sina hizo zengine.
 
Duh hongera bro.
 
Hapa ni Nyumbani kwako.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I can clearly see the back ground kupitiahiyo screen hapo.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe uko na nyumba? Ama unangoja msichana wa wenyewe arudi akufungulie mlango? That girl can’t even trust you with a spare keyπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa Huwa wanatumia a lot of emotions kwenye hoja zao. Angejua hakuna mtaa wowote huko kwao inatoshananna Karen both in aesthetics na ukubwa Wala hangefungua hiyo mdomo yake kubwa
 
Hiyo 400k hata wewe hadi ufanye hile kazi yako ya public health for 3 yrs ndio mshahara wako uifikie.
Basi mimi sijagusia upande wa public health.
Nimegusia upande wa hustling in all means bro.
 
Skia halafu wewe mpumbavu naweza share these kinda pictures like every single day NairobiWalker hizo pesa mimi kwasasa mashaallah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sidhani kama utawezana sasa. Heb post kwanza unatumia simu gani we mbwa.?
 
Skia halafu wewe mpumbavu naweza share these kinda pictures like every single day NairobiWalker hizo pesa mimi kwasasa mashaallah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sidhani kama utawezana sasa. Heb post kwanza unatumia simu gani we mbwa.?
Picha za mwenye mbuzi unaturingia hapa? Kwanza wewe unafanana na broker wa kuuza mbuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…