Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unachoandika unakielewa kweli? Ww umesema ni ujenzi wa reli km 700, Sasa ujenzi wa reli km 700 inahusiana vipi na kununua treni na mabehewa? Pia hizo treni na mabehewa zimenunuliwa kwa trillion 3?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu huu mjadala wenu unanichekesha sana.
Ila huyo jamaa atakuchosha tu.
 
A380 unadhani mchezo kaka, imagine Kenya hawana facility ya ku handle A380 alafu wanakuambia eti battle bado haijaisha na kwamba wataendeleza battle mpk kieleweke.
Bwana watchman ebu tuambie hizo facilities za kuhandle A380 zenye JKIA haina but mabati rolling ziko nazo ni kama gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Don’t forget to attach supporting documents πŸ˜‚
 
Ordinary kenyan ndio hawawezi shindana na wabongo wa kawaida kabisa. Kwasababu nyie vima mtu wa kawaida huko ni yule hamiliki chochote, hadi Nyumba ni ya kupanga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe unamiliki nini? Unalishwa na mwanamke yet you are here opening that your big mouth about umiliki.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu huu mjadala wenu unanichekesha sana.
Ila huyo jamaa atakuchosha tu.
Nimegundua huwa hajui chochote

Kama sio mfatiliaji wa mambo mengi, huyu jamaa atakua anakulisha sana matango pori
 
Rudi shule wewe Mombasa na Tanga wapi na wapi mbona unajipa umuhimu. Nishakwambia tafuta hela ujumuike na wenzako wanaouza kahawa mitaani kwetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…