Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe Kima nyie wapumbavu hamtuzidi ki barabara kwa sasa, vibarabara vyenu vyote ni basic four lanes roads. 🤣😂😂 dar ishatoka huko mzee, Nyie mna barabara mbili zenye they are more than four lanes. Au naongea uongo.? Sisi kati ya barabara sita kubwa za Dar, ni moja tu ndio ni four lanes. The rest ni kuanzia 6 lanes na kuendelea.
Hata hao baadhi ya wazungu anaokuwa anajitamba nao kwamba wanasema Nairobi imeendelea kuliko Dar ni wale wazungu ambao ni wageni sasa waki Google wanakuta articles za wakenya wakijisifu wapo juu ya nchi zote EA so nao wanaenda na perception hiyo, ila wakija wanakuta utofauti mkubwa, na kiukweli hayo yote tumeshaanza kuyabadilisha mana na sisi nowadays tupo vzr mitandaoni, ukweli ni kwamba kwa sasa nchi zote EA tumezizidi mbali kimaendeleo. Tanzania kuna sehemu zina view za Europe kabisa ambazo huwezi kukutana nazo nchi nyingi za kiafrika, mfano mdogo hizi hapa ambazo ni chache kati ya nyingi tulizo nazo 👇👇👇👇
Screenshot_20240803-111659~2.png
Screenshot_20240803-111017~2.png
Screenshot_20240802-111249~2.png
1722066570154.png
Screenshot_20240704-122130~2.png
1706890860077.png
Screenshot_20240725-164656~2.png
 
Sasa hivi Gormahia ikicheza na Yanga Gormahia inafungwa 50.
Labda Gormahia tuipe Tanzania Prisons ndio watatoshana.
Gor Mahia haina hadhi ya kucheza na Yanga kwa sasa, ni sawa na timu ya mchangani iite Man united icheze nayo, timu za hadhi ya Yanga huwa zina ratiba nyingi, so ukitaka kucheza nayo inabidi uombe mwaka kabla, pia kwa ajili ya kulinda wachezaji wao kuumia kutokana na timu ndogo kukamia mechi.
Screenshot_20240804-042202~2.png
 
Back
Top Bottom