Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo mnaongea sana na misifa juu. Hapo hujajibu hoja yangu kuhusu hizo barabara za Nairobi kuwa mbovu. Umeanza topic nyingine.
Muda mwingine unakubali kuwa bado mko nyuma Nairobi is still a developing city just like any other city in Africa...
Lakini kenyans wanaona wao ndo wameendelea na mbaya zaidi are always bashing other countries zilizo busy kuimprove their countries. ...

A lot has to be done to Call Nairobi a developed city.
Badala ya kujishughulisha kuendeleza Dar upo unasumbuliwa eti wakenya waseme Nairobi haijaendelea? Ndio iweje? Hivi Dar ilivyochoka barabara za vumbi kila mahali unaweza niquote post moja tu uliyosema Dar haijaendelea? Yani unaona vyema mji wako ukose maendeleo na uendelee kuusifia tu ila unasumbuliwa na Wakenya kisa hawajasema Nairobi haijaendelea? Huna akili wewe.
 
🤣🤣🤣 Wajinga sana,alafu utasikia GEN Z wanajitambua,behind the curtain ni full ukabila na ubaguzi
Screenshot_20240730-210521~2.png
 
Derulo : When did you arrive?
Msani wao : second in the morning
Derulo akajua hakuna mtu hapo. Huyu ndie mtu eti wakenya wanaiba 👇

View: https://vm.tiktok.com/ZMrXbdXW1/

Ila sisi ni wachokozi. Vijana wadogo wa shule za upili wameenjoy diamond hadi mibaba mizima akina Master J jimetoa kauli za hasira dhidi ya Wakenya. 🤣 🤣 🤣
 
Picha za leo, kachiri bado zinauzwa (bottom right) viti nonfoldable, race track imewekwa zege, fence ndani ya uwanja. EQUITY BANK imejaribu kuwainua lakini nguruwe hapendezi 😂😂😂View attachment 3060648
Huu uwanja uko under renovation Simba na yanga wameomba Tu kwa ajili ya siku zao but mkandarasi Yuko site anaendelea na KAZI
 
Back
Top Bottom