Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The fact that you can mention Muthaiga in the same sentence with bad roads means you have no idea about Nairobi or what Nairobi is like. Toka hapo Tandale utembee utajua dunia.
Namaanisha muthaiga square... barabara za kuingia ndani kutoka thika Road. Na kuna appartment zinajengwa hapo.
Mimi sio muongo muongo kama nyinyi.nidanganye dunia na nipike takwimu.
Hunidanganyi kitu na hako kanairobi kenu kadogo kama kidonge....
 
Hapo bado Nyerere Dam ni 100% pesa ya ndani, Kunyaland bila IMF hata kulipa mishahara hawawezi

View: https://x.com/BilikwijaT70646/status/1755924307295826395?t=kcG0OkyiNwUZjwSQsgwp4Q&s=19

Tukiwaambia wanakaataa why wasifatilie kipindi Magufuli analijenga alitaka kutumia gas akakuta imechukuliwa na walitaka nchi itegemee gas iliyochukuliwa, RICHMOND, DOWANS, SIEMENS, IPTL walikua washaiweka Tanesco kwapani unadhani nani angetoa mkopo ambao ungefanya makampuni yao yakose ulaji, pia china ilikua na soko kubwa la Generator.

Alafu lini china atoe Trillion 6 papo hapo, alafu umuombe tena Trilion 10 SGR, kisha umuombe tena Trilion za DODOMA GOV CITY, ukimaliza ukamuombe tena TRILION za Kununua ndege, ukimaliza ukamkope tena Trilion za Vivuko nchi nzima, Madaraja (Busisi).

Hapo haiwezekani kabisa maana utashindwa handle madeni hivyo ushindwe kopesheka na ratio ya GDP to debt ingekua kubwa sana kwa matrilion hayo yote.

Na kukopa kote bado kuna Elimu Bure mpaka Form Four unatoa toa pesa, watumishi unalipa, unaendesha serikali.

Sio rahisi na Only kwa kuongeza pesa za ndani ndio inawezekana kabisa.

Alafu muda huo huo upinzani wapo busy na haki za Binadamu na wapo nchi za magharibu kupakazia matope sijui dikteta misaada inakatwa mashuleni kisa kukaataa wasichana wenye mimba uchaguzi Zanzibar.

REST IN PEACE JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI

1000040823.png
 
Namaanisha muthaiga square... barabara za kuingia ndani kutoka thika Road. Na kuna appartment zinajengwa hapo.
Mimi sio muongo muongo kama nyinyi.nidanganye dunia na nipike takwimu.
Hunidanganyi kitu na hako kanairobi kenu kadogo kama kidonge....
Kwa Barabara za ndani hata usiende hapo bro. Barabara za ndani Dar ni zero. Hata mitaa yenu ya Kifahari haina Barabara ama unataka nikuoneshe kwa picha? Kwa Barabara za ndani Dar itaingia Nairobi zaidi ya mara kumi.
 
Tatizo mnaongea sana na misifa juu. Hapo hujajibu hoja yangu kuhusu hizo barabara za Nairobi kuwa mbovu. Umeanza topic nyingine.
Muda mwingine unakubali kuwa bado mko nyuma Nairobi is still a developing city just like any other city in Africa...
Lakini kenyans wanaona wao ndo wameendelea na mbaya zaidi are always bashing other countries zilizo busy kuimprove their countries. ...

A lot has to be done to Call Nairobi a developed city.
 
South Korea firm imetoa sababu za treni kufariki porini 👇😂😂

1.Treni aina ya Hybrid zinaogopa kutembea gizani na porini (TENEBRIFICATION) tofauti na miji iliyozoea kutembea Kule Korea Kusini kule Mungyeong, Seoul Korea Kusini

2.Treni aina ya Hybrid zina tabia ya Kuona aibu Kupita mbele za watu wengi (DIFFIDENTIFICATION)
Maybe the trains need viagra …🤣🤣

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1819523091258569123
 
Tatizo mnaongea sana na misifa juu. Hapo hujajibu hoja yangu kuhusu hizo barabara za Nairobi kuwa mbovu. Umeanza topic nyingine.
Nimesema barabara za Nairobi ni bora kuliko za Dar. Hilo sii jibu?
Muda mwingine unakubali kuwa bado mko nyuma Nairobi is still a developing city just like any other city in Africa...
Wapi nimekataa kuwa Nairobi is a developing city? Huu uzi ni Nairobi vs Dar sio Nairobi vs New York. Nimekualeza kuwa Nairobi is more developed than Dar kwa sectr ya barabara, hakuna mahali yeyote amekataa kwamba Nairobi is a developing city. In fact kwa hilo ni nyie Wabongo huwa mnasema mko developed wakati miji yenu ni vumbi si juzi tu mmesema humu Dodoma level zake ni ulaya?

Lakini kenyans wanaona wao ndo wameendelea na mbaya zaidi are always bashing other countries zilizo busy kuimprove their countries. ...
Wacha kuingiza nchi zingine kwenye huu mjadala, hapa ni Tanzania vs Kenya. Wenye nchi zingine wakitaka ligi na sisi watatuita.

A lot has to be done to Call Nairobi a developed city.
Of course a lot has to be done to call Nairobi a developed city. That still doesn't change the fact that Nairobi is more developed than Dar and everyone who visits the two cities observes that.
 
Ni ajabu sana ningekua me ningetangaza Ban ya kutumia SGR kwa wajina hawa.

Wakatumie BUSES si wanaona hazifai.

Hao hao wakati JNHP inaanza walienda mpaka nje kutumiwa kua itaharibu mazingira hadi kukosa fund.

Leo JNHP inawasaidia kupata umeme wa kuchaji simuna kuandika utumbo, kuwasha hiyo reli wakati reli inaanza walichukua picha za kichwa cha majaribio na kusambaza kuwa tumepigwa.

Wakati nchi inapambana kulinda rasmali za nchi (MADINI)

Walikua busy kuwatetea Kampuni za wazungu BARRICK sakata la ACACIA ila now nchi ina share kubwa ya pato la Madini, plus mgodi wa Nickel, masoko ya madini, Tanzanite huipati popote mpaka TZ nakumbuka Kenya na India ndio wauzaji walikua wakubwa.

Leo tena kelele piga BAN ya kuvitumia vitu hivyo na waoneshe utumbo wote wanaoandika.

Yaani mwezi mzima inaoperate hakuna hata pongezi ila siku moja ya hitlafu kelele.

NYERERE NILIKUA NAMKUBALI WATU WA HIVI ALIKUA ANAWAPA KAZI YA KUSIMAMIA WANACHOLETEA UJUAJI NA UNAWAPA COVERAGE KILA KUKICHA TUONE WATATOKEA WAPI?
 
Nimesema barabara za Nairobi ni bora kuliko za Dar. Hilo sii jibu?

Wapi nimekataa kuwa Nairobi is a developing city? Who uzi ni Nairobi vs Dar sio Nairobi vs New York. Nimekualeza kuwa Nairobi is more developed than Dar kwa sectr ya barabara, hakuna mahali yeyote amekataa kwamba Nairobi is a developing city. In fact kwa hilo ni nyie Wabongo huwa mnasema mko developed wakati miji yenu ni vumbi si juzi tu mmesema humu Dodoma level zake ni ulaya?

Wacha kuingiza nchi zingine kwenye huu mjadala, hapa ni Tanzania vs Kenya. Wenye nchi zingine wakitaka ligi na sisi watatuita.

Of course a lot has to be done to call Nairobi a developed city. That still doesn't change the fact that Nairobi is more developed than Dar and everyone who visits the two cities observes that.
Wewe Kima nyie wapumbavu hamtuzidi ki barabara kwa sasa, vibarabara vyenu vyote ni basic four lanes roads. 🤣😂😂 dar ishatoka huko mzee, Nyie mna barabara mbili zenye they are more than four lanes. Au naongea uongo.? Sisi kati ya barabara sita kubwa za Dar, ni moja tu ndio ni four lanes. The rest ni kuanzia 6 lanes na kuendelea.
 
Namaanisha muthaiga square... barabara za kuingia ndani kutoka thika Road. Na kuna appartment zinajengwa hapo.
Mimi sio muongo muongo kama nyinyi.nidanganye dunia na nipike takwimu.
Hunidanganyi kitu na hako kanairobi kenu kadogo kama kidonge....
Barabara gani Muthaiga Square haina lami? Hivi unaweza linganisha access roads za Nairobi na Dar?
 
Back
Top Bottom