Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ilete wewe hio article ya 2021 alaf utuoneshe 2022 imebeba hvo
Video ya 2022 inaonyeshe double stack😂😂🤣🤣👇👇👇

View: https://youtu.be/xXdpFpDqng8?si=rOP9RG8RxeasILtX

Sasa article yenye mmeweka hopes zenu ndio hii hapa ni ya 2021😂😂🤣🤣👇👇👇

Munakwenda mbio munaumia kisawasawa na ndio kwanza hata mwezi haijamaliza bado mabehewa ya gorofa hayajaanza kazi haha aloo mwaka huu mtamu Sana 😄😄😄
Mwezi haijaisha na already train ishakwama mara tatu🤣🤣😂😂
 
Video ya 2022 inaonyeshe double stack😂😂🤣🤣👇👇👇

View: https://youtu.be/xXdpFpDqng8?si=rOP9RG8RxeasILtX

Sasa article yenye mmeweka hopes zenu ndio hii hapa ni ya 2021😂😂🤣🤣👇👇👇

Video kua posted 2022 haimaanishi ni ya 2022 inaeza kua video ya 2020 na ikawa posted 2022😁😁😁😁😁
 
Yatarudi? Una uhakika au unaropoka? Mbona marekebisho na maboresho ya hayo sita yanaweza kufanyika kwa urahisi hapahapa nchini! Usiwe unaropoka kama hujui undani wake! Tatizo hapo ni mkataba ulioingiwa! Mturuki kagoma kuleta mabehewa 24 yaliyobaki!
Mabehewa yalishatolewa Uturuki na kupelekwa Germany long ago. Yali nunuliwa Germany from DB "Deutsche Bahn" na kupelekwa Uturuki kwa kufanyiwa ukarabati na kampuni ya Euro Wagon hali ilivyoenda ndivyo sivyo mkataba ukavunjwa wakayachukua na kuyarudisha Germany kwa Lückemeier Transport & Logistik GmbH wanao yafanyia kazi.

Any thing apart from this ni speculations unless uje na ushahidi hapa wa huo mkataba ama ushahidi mwingine.
 
Sisi tunajua ni mara mbili na shida sio train ni wire za umeme zilipata hitilafu so bado tuna muda mzuri wakuendeleza majaribio na kutatua changamoto na haitabadilisha hii kua modern electric train in africa 😃😃😃😃
Trains ndio ni mitumba🤣🤣😂😂.

Mmezoea kununua vitu refurbished right from BRT buses, to ndege to trains🤣🤣😂😂
 
Trains ndio ni mitumba🤣🤣😂😂.

Mmezoea kununua vitu refurbished right from BRT buses, to ndege to trains🤣🤣😂😂
Leta ushahidi kua ilikua ni train fault mm nifunge ACC SASA hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Unawazimu ww unafkiri Sisi ni kama nyinyi wajinga mmarekani anawaletea helicopters used za bure alaf zinawaua wenyewe kila Leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona isimamishwe? Whats the function of passing loop kwani?🤣🤣😂😂
Unahama magoli!?
Sijui ila mzee wangu anafanya kazi hilo shirika la TRC na ofisi yake iko Gerezani any detail ananipatia.
Jana ilikwama moja Mida ya saa 4 usiku ikikaribia Morogoro na tatizo lilikua kwa cable ya umeme kupata itilafu,ila shida sio locomotive.
Hiyo nyingine ilisimamishwa kwa muda wa 25 minutes kupisha treni alipanda rais Samia ipite.
 
Trains ndio ni mitumba🤣🤣😂😂.

Mmezoea kununua vitu refurbished right from BRT buses, to ndege to trains🤣🤣😂😂
Leta ushahidi kua ilikua ni train fault mm nifunge ACC SASA hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Unawazimu ww unafkiri Sisi ni kama nyinyi wajinga mmarekani anawaletea helicopters used za bure alaf zinawaua wenyewe kila Leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Video ya 2022 inaonyeshe double stack😂😂🤣🤣👇👇👇

View: https://youtu.be/xXdpFpDqng8?si=rOP9RG8RxeasILtX

Sasa article yenye mmeweka hopes zenu ndio hii hapa ni ya 2021😂😂🤣🤣👇👇👇

Kuna msenge mmoja alisema vumbistan haihitaji double stacking kwa sababu treni zao ni refu, treni zilizoletwa sasa fupi kweli kweli
😂😂😂
 
Leta ushahidi kua ilikua ni train fault mm nifunge ACC SASA hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Unawazimu ww unafkiri Sisi ni kama nyinyi wajinga mmarekani anawaletea helicopters used za bure alaf zinawaua wenyewe kila Leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Funga account sasa🤣🤣😂😂

Mlinunua mitumba🤣🤣😂😂👇👇

1722624655787.jpeg
 
Back
Top Bottom