Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasome kilichoandikwa kwanza 🀣🀣
Tanzanian SGR will never do this na ikijaribu itakwama mwaka mzimaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1722623074858.jpeg
 
Yenu already ishakwama mara tatu within one month. Meaning in 7yrs itakwama maraπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

3x12x7= 252 timesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Taja hzo mara tatu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ni mara mbili pekee na yote ni kwasababu bado tuko kwenye muda wa majaribio hata manufacturer wote wapo kuangalia hzo faults

Nyinyi wenyewe hio SGR yenu hamuna hata raha nayo unafkiri mutafatilia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jana mbili zilikwamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£. Ya mchana na ya usiku, 31st ya usiku ilikwamaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Tanzanian SGR will never do this na ikijaribu itakwama mwaka mzimaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3059926
Hio picha ya zamani Sana kwa sasa zimekua cancelled kwasababu SGR haipati mizigo ya kutosha, hope huwez kunidangany mm coz unajua sichelewi kukuaibisha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Taja hzo mara tatu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ni mara mbili pekee na yote ni kwasababu bado tuko kwenye muda wa majaribio hata manufacturer wote wapo kuangalia hzo faults

Nyinyi wenyewe hio SGR yenu hamuna hata raha nayo unafkiri mutafatilia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jana mbili zilikwamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£. Ya mchana na ya usiku, 31st ya usiku ilikwamaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Hio picha ya zamani Sana kwa sasa zimekua cancelled kwasababu SGR haipati mizigo ya kutosha, hope huwez kunidangany mm coz unajua sichelewi kukuaibisha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Picha ya 2022 ni zamani?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.

Alafu article enyewe ni ya 2021πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Jana mbili zilikwamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£. Ya mchana na ya usiku, 31st ya usiku ilikwamaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Mbili gani unawazimu wa kichwa wewe πŸ˜€
Yani munaumia Sana na reli hii
 
Ilete wewe hio article ya 2021 alaf utuoneshe 2022 imebeba hvo
Video ya 2022 inaonyeshe double stackπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/xXdpFpDqng8?si=rOP9RG8RxeasILtX

Sasa article yenye mmeweka hopes zenu ndio hii hapa ni ya 2021πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Back
Top Bottom