Tupe historia na uzeofu wa KDF, baada ya kupigwa na Alshaabab na wizi wa chocolate pale west gate, wapi tena walishapigana?Pwahahahaha...hawa tunawapea tu GSU na Administration Police...Kenya has th toughest military ukanda huu
mnaogopa alshabaab kwa sababu wanajeshi wenu wamejificha barracks wakipiga punyetokwa upande wa usalama wanatutia sana haibu hawa wakenya
Alshabaab hutumia explosives in 90% of their attacks.....hii summersault tuwachie wa chinaha ha watoke hawajipendi.....Kenyan ni wapuuzi sana
kweli hatukimbiimsikimbie nakuja kwa kasi. Wakenya msikimbie. Mwendo wa picha.
Ndege zote za kenya airways wame lease alaf share ya gvt of kenya is just 29% klm 27% na zilizobaki ni za wenye pesa kutoka sehemu zote ulimwenguniNingependa kufahamu umilikaji wenu katika hizi ndege .. Ni serikali yenu ilinunua 100% au mnashare na Kampuni Fulani
Wow thanks for render kuchimba shimo toka 2014 mpaka 2020 ni kuchimba shimo😀😀😀picha zaidi za Pinnacke...tallest in africa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wakati wasomali wanawatoa uharo😀😀😀😀soma leboo nani...sio upuuzi wa watu wanaruka ruka hapa huku wamebana mavi mwilini eti wanajeshi eti...😀😀
Kenya ranked East Africa’s most powerful military force
hasa wewe. unadhan wakiwa uwanja wa vita wanashow hizo vitu ovyo ovyo hivyo votu vitu hutumika pale unapokutana na enemy face to face....acha ushamba weweAlshabaab hutumia explosives in 90% of their attacks.....hii summersault tuwachie wa china
.
Nashangaa sana wakati tunaongelea hoteli za kitalii, tuliambiwa kuwa Zanzibar haiko Tanzania, sasa imekuwaje leo iwe sehemu ya Jamhuri ya muungano?

tupo vizuriDar es salaam
![]()
![]()
![]()
![]()

tatizo lako unalazmisha picha zingine ziwe dar sasa hapo nikikuuliza picha ya mwisho na ya kwanza na ya tatu hapo ni wapi???kweli hatukimbii
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()