Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naliamsha dude:
not only kibera and mathare,there are other places in nairobi kenyans won't show you.

166c284b4751ad39c25a288b4ab47452.jpg
7f667775a3b83ffec435ff954a7bb7b2.jpg
d9c458ce0f3522894b2be67aec3232f7.jpg
232fd45cfc7c8ca9e574b73e1aaf43f2.jpg
3e8633f01aa620ee685e7854b2118e8d.jpg
ca0ef436483e4cf70df1de59fb83c79e.jpg
4416b97a8490c79b19e0372f2cf1c133.jpg
a5daa4a20046793caf2dd15f7b73d1c4.jpg
8ef8e85c86636471ba40e646bea06217.jpg
faf5e84946c336b230feabb148f26d35.jpg
00eae2d9d668dad68c524f8f16e2cf89.jpg
0d647d4e65f7b6016f7f0d9f8c03179e.jpg
Watu wako Hustle Mbaya kutafuta unga...hakuna kuomba omba naipenda bidii ya my Brothers. Picha nzuri sana.
 
zile kipindupindu za Zanzibar ziliisha....courtesy of ITV Tanzania.....huko huwa nasoma uchi wenu ambao hamtaki kuonyesha hapa
Sio kwenye five star hotels, hiyo kwenu imevunja rekodi, kingetokea Kibera wala nisingeshangaa, lakini next to state house, hiyo kali mazee, by the way njoo uone Dar ilivyo safi, utaipenda bure
 
Watu wako Hustle Mbaya kutafuta unga...hakuna kuomba omba naipenda bidii ya my Brothers. Picha nzuri sana.
Colomz yuko wapi ajekuona akina mama mboga wa cbd amekuwa akituponda sana smh!
 
licha ya matusi mtajileta tu nairoberry kwa wingi kutafuta pesa......wa chagga wenzenu wamejaa gikomba wakiskuma mkokoteni wengine pia ni hawkers hii Nairobi ......wengine omba omba pia....wengine wako kazi ya mjengo pia.....karibuni Nairobi nyote mpate hela hahaha.....
Na pia mkija headquarters za kampuni zenu zilizoko Nairobi mkamate Tusker cidar baridi kwa mpigo

zile kipindupindu za Zanzibar ziliisha....courtesy of ITV Tanzania.....huko huwa nasoma uchi wenu ambao hamtaki kuonyesha hapa
asante kwa povu...good morning.
 
.yani Zanzibar wana hata wimbo yah taifa..soka team rais wao currency Alafu wanasema niyao na vile she in amejitaidi

zile kipindupindu za Zanzibar ziliisha....courtesy of ITV Tanzania.....huko huwa nasoma uchi wenu ambao hamtaki kuonyesha hapa
.
Nashangaa sana wakati tunaongelea hoteli za kitalii, tuliambiwa kuwa Zanzibar haiko Tanzania, sasa imekuwaje leo iwe sehemu ya Jamhuri ya muungano?
 
Back
Top Bottom