Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
hayo mambo ya kupakia mizigo juu ya buses tulishayapinga kitambo sana......hatuna uchafu huo....ukiambiwa dar imechange imechange kweli.....sikitoto...kweli hatukimbii
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
yaani akili zenu ni zimepotoka sana wakenya mnadhani hii ni dar ya miaka ile kama jinsi mlivyokaririshwa na kudanganywa