na msisahau kuwajia omba omba wenu angalau muwaalike katika sherehe...😀😀Tuna celebrate kidogo mungu ibariki Tanzania milele![]()
![]()
![]()
this is like the whole of Dar is slum....I mean the only part they can post.......Hii maybe tutaipatia kisumu ishindane nayo sasa....Nairobi down town..tommboya divides Nairobi's cbd and Nai..this is cars cbd surely??? downtown![]()
Nimempata manzi mmoja wahuko kwenu Kenya....anajipendekeza kwangu ile mbaya wakati simtaki...naona umewasili mitandaoni..😀😀...hivi nani leo kakukopesha hela za internet bundles?...😀😀inaonekana maisha yamekuwa magumu.

Ningependa kufahamu umilikaji wenu katika hizi ndege .. Ni serikali yenu ilinunua 100% au mnashare na Kampuni Fulaniby the way, vipi kuhusu ndege za bombadier?😀😀 yale mitungi yenu yamo ama mmeamua kubebea chang'aa? abiria wote wanatumia th prid of Africa KQ na Ethiopian airways..
![]()
![]()
![]()
![]()
Pwahahahaha...hawa tunawapea tu GSU na Administration Police...Kenya has th toughest military ukanda huuOnyo kwa wakenya....kwa upande huu msithubutu kujichanganya hata siku moja...kwani mtajuta milele![]()
![]()
![]()
![]()
Zile zipo.....zinapambana na hali take ...siunajua tens mdogo mdogo shirika letu linajisongesha lenyewe kiuzalendo zaidi hatutegemei.....watu toka nnje kama nyie...by the way, vipi kuhusu ndege za bombadier?😀😀 yale mitungi yenu yamo ama mmeamua kubebea chang'aa? abiria wote wanatumia th prid of Africa KQ na Ethiopian airways..
![]()
![]()
![]()
![]()
ndugu wacha utani..😀😀yale sio mitungi ya chang'aa bana (bombardier) 😀😀Ningependa kufahamu umilikaji wenu katika hizi ndege .. Ni serikali yenu ilinunua 100% au mnashare na Kampuni Fulani
pwahahaha nani anatumia mitungi haya...si utakwama angani😀😀😀Zile zipo.....zinapambana na hali take ...siunajua tens mdogo mdogo shirika letu linajisongesha lenyewe kiuzalendo zaidi hatutegemei.....watu toka nnje kama nyie...
....kwa sasa kwenye upande Wa anga endeleeni kupeta ila msijisahau ndege sio zenu hizo
na msisahau kuwajia omba omba wenu angalau muwaalike katika sherehe...😀😀
mzee ojwani una visa kweli kweli ha ha has umefanana naye kishenzi
asante bro...😀😀unajua si vizuri mnaseherhekea miaka 56 ya kuwa LDC kumbe mmewasahau omba omba wnu humu😀😀![]()
![]()
![]()
mzee ojwani una visa kweli kweli ha ha has umefanana naye kishenzi
Pwahahahaha...hawa tunawapea tu GSU na Administration Police...Kenya has th toughest military ukanda huu
Next time angalau tumia 0.00001% ya akili yako.. Hizo zina fly Hapa ndani ya nchi tu na maeneo ya karibu haziend mbali in fact they're more economy kwasababu zinatumia mafuta kidg sana..ndugu wacha utani..😀😀yale sio mitungi ya chang'aa bana (bombardier) 😀😀
tazama uchafu huu...utadhan ni hizi pipe za simiti zimepigwa rangi ya Tanzanian Airways..😀😀😀
![]()
![]()
Acha wivu.....hiyo ndege iko powa tena sana....maana nyie hamna hata moja bora yetu....kuliko kukaa na mizigo ya wanaume na mkajihisi ni mizigo yenu wakati Hamna chenupwahahaha nani anatumia mitungi haya...si utakwama angani😀😀😀
![]()

hasira hasara ndugu😀😀😀lakini mitungi ya kubebea chang'aa usiniletee...sitaki kukwama angani😀😀Next time angalau tumia 0.00001% ya akili yako.. Hizo zina fly Hapa ndani ya nchi tu na maeneo ya karibu haziend mbali in fact they're more economy kwasababu zinatumia mafuta kidg sana..
Ndo maana tukanunua ndege sita hizo 3 mbili zikiwa cs300 jetliners hizi zitaenda mbali kidogo maeneo ya Africa na Boeing dreamliner b 787-8 ambazo zote zitaingia mwanzaoni mwaka na nyingine June 2018
Najua haukosi neno la kutapika......ila siku mkijichanganya tu...tunawachapa mchana kweupeangalia ndio hawa watu wanaoiwta wanajeshi eti...jamaa wanakaa ni kana kwamba wamebanwa haja kubwa..😀😀.hebu leta picha za KDF...sio jokes hizi
![]()