Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
sasa unakasirika ndugu...sio mimi niliyeandika article ile...😛😛😛
Kenya ranked East Africa’s most powerful military force
hakuna aliyekasirika .....kiukweli nyie hamna uwezo.... mmelegea sana wakenya
 
haya basi tutawapa Administration police wapambane nanyi sababu KDF sio wa kupambana na upuuzi...hao wako level ingine...
sawa boss tutashukuru.....maana mnajuwa sana kugawa dozi.....

kule somalia mmewachapa mpaka wamewakimbia kweli nyie ni nowma...wazee Wa pang'ang'a
 
emoji23.png
emoji23.png
hata vita vya mawe nyie mnawezana kweli?
emoji23.png
emoji23.png
nchi LDC yenye military dhaifu
Uliza ni kwanini huskii chokochoko nchi imetulia km maji ya mtungi

Uliza kilichompata IDD AMIN.. Pamoja na kupewa ma elfu ya wanajeshi kutoka Libya na Gaddafi bado walikiona cha mtema kuni

Ndege ya Libya ile iliyokua ikielekea Uganda ilitekwa hewani ikatua Tz badala ya Uganda..
 
msikimbie nakuja kwa kasi. Wakenya msikimbie. Mwendo wa picha.
 
Uliza ni kwanini huskii chokochoko nchi imetulia km maji ya mtungi

Uliza kilichompata IDD AMIN.. Pamoja na kupewa ma elfu ya wanajeshi kutoka Libya na Gaddafi bado walikiona cha mtema kuni

Ndege ya Libya ile iliyokua ikielekea Uganda ilitekwa hewani ikatua Tz badala ya Uganda..
achana nao hawa watoto wakikenya niwashamba hawajui historia ......Kenya ni changa sana....tunabishana na vilaza ambao hata vita vya nchi hawajawahi kupambana wanaishia kwenye vikosi vya umoja ama vikosi shirikishi
 
Ati jeshi wenu wanapiga summersault ......hahaha.Reminds me of maji maji rebellion where some idiots believed that magic water would cushion them....hahaha.hii ujinga ilianza kitambo kwa mababu

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Ivyo ni vikosi mbali mbali vya kufanya opereshi tofauti unafkiri kila sehem unatumia Ak47 tu.. Ndo maana jeshi lenu linaporwa vifaa.. Mmeshazoea kujifungia kwenye vifaru/Tanks hamtaki kutoka
 
Vita ya picha imekushinda sasa.unaanza kuandika chang'aa za kichwani kwako.

kwani KDF walikuwa wapi pale westgate,ni kweli kwamba walianza kuiba mikufu na vito vywa thamani badala ya kufanya kilichowapeleka,wakati huo jamaa wameishasepa.
 
soma leboo nani...sio upuuzi wa watu wanaruka ruka hapa huku wamebana mavi mwilini eti wanajeshi eti...😀😀

Kenya ranked East Africa’s most powerful military force
ha haa .....hata marekani inajulikana kuwa ni jeshi bora kuliko yote duniani .....

Ila ISRAEL hautoisikia hata kidogo....na haipo hata top 5...haipo...lakini in reallity nchi ya israel ndiyo nchi inayoogopeka kuliko nchi zote...hivyo mmetawaliwa na maneno ya khanga
 
haya basi tutawapa Administration police wapambane nanyi sababu KDF sio wa kupambana na upuuzi...hao wako level ingine...
Na kweli,wanaume wabishi nane tu,walishinda na KDf masaa kadhaa westgate.kabla Kdf hawajabadili zoezi na kuanza kuiba mali za jengo.
 
Ivyo ni vikosi mbali mbali vya kufanya opereshi tofauti unafkiri kila sehem unatumia Ak47 tu.. Ndo maana jeshi lenu linaporwa vifaa.. Mmeshazoea kujifungia kwenye vifaru/Tanks hamtaki kutoka
ha ha watoke hawajipendi.....Kenyan ni wapuuzi sana
 
Vita ya picha imekushinda sasa.unaanza kuandika chang'aa za kichwani kwako.

kwani KDF walikuwa wapi pale westgate,ni kweli kwamba walianza kuiba mikufu na vito vywa thamani badala ya kufanya kilichowapeleka,wakati huo jamaa wameishasepa.
kwa upande wa usalama wanatutia sana haibu hawa wakenya
 
ha haa .....hata marekani inajulikana kuwa ni jeshi bora kuliko yote duniani .....

Ila ISRAEL hautoisikia hata kidogo....na haipo hata top 5...haipo...lakini in reallity nchi ya israel ndiyo nchi inayoogopeka kuliko nchi zote...hivyo mmetawaliwa na maneno ya khanga
Achana naye mlevi asiyezingatia msosi.
 
Back
Top Bottom