Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha wivu.....hiyo ndege iko powa tena sana....maana nyie hamna hata moja bora yetu....kuliko kukaa na mizigo ya wanaume na mkajihisi ni mizigo yenu wakati Hamna chenu[emoji13] [emoji13]
ndege hizi hapa bro...yale ni mitungi bana mmepaka rangi
😀
KQ-Cargo-Center.png
images
 
Mmeazima izzo sio zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] mtegemea cha ndugu hufa maskini..
asante kwa hasira broo..ila ukweli ni kwamba hata watz wenzako walio na hela angalau hawawezi panda huo uchafu wenu...najua wewe hapo hata treni bado ila waulize wenzako watakuambia
 
soma leoo nani...sio upuuzi wa watu wanaruka ruka hapa huku wamebana mavi mwilini eti wanajeshi eti...😀😀

Kenya ranked East Africa’s most powerful military force
Yaani nyie...kinachowaponza ni makaratasi....ila in reality mnachekesha sana na muendelee kujiongopea hivyo hivyo.......

Ulinzi Wa Tanzania still upo na secret issues...kubwa kabisa ndiyo maana hao wapuuzi wanaowatingisha huku hawana maujanga kwani ukiingia hauwezi kutoka lazima ufie hukuhuku tens kimya kimya.....

Usilinganishe upuuzi wenu na ...wazee Wa kazi toka TZ
 
Kuna picha niliona hata Masela wa yebo yebo Somalia wamewanyang’anya “ your toughest military “ magari.
Ni aibu sana .
hata US amry huwa wanabanwa wakati mwingin na terrorists...sasa wale ni KDF...ingekua hao wanajeshi wenu wapo Somalia wangekuwa washamtoa Magu mamlakani
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
sasa hivi rais angekuwa yule mwanajeshi wa Alshabaab...shukuruni Mungu hamjapakana na Somalia...otherwise, hao wanajeshi waliobanwa haja kubwa wangekuwa walishamalizwa wote
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
I respect Burundi and Ugandan army.......atleast they are real men to face the amorphous radicalized militia of al shabaab.......Nilisoma ati 14 Tanzanian soldiers were killed in Congo of all the places.......nyinyi basi msidhubutu hata Somalia....mtafagiliwa wote kwa wiki moja
 
Yaani nyie...kit aka how soon za ni makaratasi....ila in reality mnachekesha sana na muendelee kujiongopea hivyo hivyo.......

Ulinzi Wa Tanzania still upo na secret issues...kubwa kabisa ndiyo maana hao wapuuzi wanaowatingisha huku hawana maujanga kwani ukiingia hauwezi kutoka lazima ufie hukuhuku tens kimya kimya.....

Usilinganishe upuuzi wenu na ...wazee Wa kazi toka TZ
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
sasa unakasirika ndugu...sio mimi niliyeandika article ile...😛😛😛
Kenya ranked East Africa’s most powerful military force
 
asante kwa hasira broo..ila ukweli ni kwamba hata watz wenzako walio na hela angalau hawawezi panda huo uchafu wenu...najua wewe hapo hata treni bado ila waulize wenzako watakuambia
Mihemko iih[emoji23][emoji23] nikisafirigi naiyonaga Kenya airways ila nilivyo jasusi napanda Turkish airline..

Wateja wamekua wengi, mpaka kampuni inaomba iongezewe ndege mpya, imeongeza na route nyingn mpaka Intebe[emoji23][emoji23] wewe cjui unaongea mavi gani
 
hebu tuwape Kenya Police wapambane na tanzania army...😀😀dakika mbili tu tushawamaliza hawa washamba
 
Yaani nyie...kinachowaponza ni makaratasi....ila in reality mnachekesha sana na muendelee kujiongopea hivyo hivyo.......

Ulinzi Wa Tanzania still upo na secret issues...kubwa kabisa ndiyo maana hao wapuuzi wanaowatingisha huku hawana maujanga kwani ukiingia hauwezi kutoka lazima ufie hukuhuku tens kimya kimya.....

Usilinganishe upuuzi wenu na ...wazee Wa kazi toka TZ
Nyinyi na visingizio tumewazoea....
 
Mihemko iih[emoji23][emoji23] nikisafirigi naiyonaga Kenya airways ila nilivyo jasusi napanda Turkish airline..

Wateja wamekua wengi, mpaka kampuni inaomba iongezewe ndege mpya, imeongeza na route nyingn mpaka Intebe[emoji23][emoji23] wewe cjui unaongea mavi gani
leta data ndugu sio kutapa tapa...KQ kwa sasa imfikia 10 million passengers per annum...vipi kuhusu hayo mitungi?😀😀 nashuku hata million moja bado...
 
hata US amry huwa wanabanwa wakati mwingin na terrorists...sasa wale ni KDF...ingekua hao wanajeshi wenu wapo Somalia wangekuwa washamtoa Magu mamlakani
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
sasa hivi rais angekuwa yule mwanajeshi wa Alshabaab...shukuruni Mungu hamjapakana na Somalia...otherwise, hao wanajeshi waliobanwa haja kubwa wangekuwa walishamalizwa wote
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
huna Sera mzee....wazee Wa kazi huwa tunawanyoosha...kwa tecnic hatukurupuki
 
I respect Burundi and Ugandan army.......atleast they are real men to face the amorphous radicalized militia of al shabaab.......Nilisoma ati 14 Tanzanian soldiers were killed in Congo of all the places.......nyinyi basi msidhubutu hata Somalia....mtafagiliwa wote kwa wiki moja
kawaulize baada ya hapo kilitokea nini[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom