Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Treni za umeme hata za ulaya huwa zinafanya hivyo zinapopita kwenye neutral zones ambapo source ya supply ya umeme inapobadilika.

Sahihi kabisa... Mambo ya AC na DC current kwenye umeme.

Treni inatemebea na umeme.. Ikifika kwenye substation lazima ikate umeme wake ili ichukue umeme mpya kwenye substation na kuendelea na safari.
Treni za umeme hata za ulaya huwa zinafanya hivyo zinapopita kwenye neutral zones ambapo source ya supply ya umeme inapobadilika.
 
Mimi siipendi ccm ila upinzani ndio siupendi zaidi,yan ni bora hao ccm
Hiv kwa nini watu wanafurahi sana mambo yakiharibika....hata waandishi wa habari wanapenda habari mbaya mbaya kama hizo. Sijaona hata mwandishi mmoja akifanya full tour ya hizo treni za umeme ukiachana na Private YouTubers kama Explore with Bertin, mkenya macharia nk...vyomba vya habari vikubwa hata kutumia Dk ishirini kufanya full coverage ya treni hizi utasearch hutapata zaidi ya kuona wanasiasa tu wanaongea kwa mdomo. Hawaonyeshi hata treni inafananaje

Hii roho ndo inazuia waafrica tusiendelee...umaskini ni mbaya sana aisee. Na kuundoa tunahitaji Exposure na akili kubwa kuanzia kwa Viongozi wa juu
 
Mimi siipendi ccm ila upinzani ndio siupendi zaidi,yan ni bora hao ccm
Wale ndo wabinafsi zaidi...wao kazi yao kukosoa kosoa tu mitandaoni bila hata kutoa solutions...na mbaya zaidi wanaitangazia Dunia kuwa mambo sio mazuri nchini kwao....kuna mambo mengine unakausha tu. Mbona ulaya mambo mabaya yao huwa hawasemi...mshaona mji wa New york ulivyokuwa mchafu siku hiz, metro ni chafu zimejaa mateja. Ushawahi ona hata CNN wanatangazia dunia hayo mambo. Hata ukiipost YouTube. YouTube wanaifuta hiyo video.
Lakini wanasolve kimya kimya ndani ya nchi zao.

Hata nyumbani. Huwezi tangazia dunia mapungifu ya nyumbani. Mengine mnakausha na kusolve kimya kimya.

Idara ya usalama wa taifa inafeli hapa.
 
Hiv kwa nini watu wanafurahi sana mambo yakiharibika....hata waandishi wa habari wanapenda habari mbaya mbaya kama hizo. Sijaona hata mwandishi mmoja akifanya full tour ya hizo treni za umeme ukiachana na Private YouTubers kama Explore with Bertin, mkenya macharia nk...vyomba vya habari vikubwa hata kutumia Dk ishirini kufanya full coverage ya treni hizi utasearch hutapata zaidi ya kuona wanasiasa tu wanaongea kwa mdomo. Hawaonyeshi hata treni inafananaje

Hii roho ndo inazuia waafrica tusiendelee...umaskini ni mbaya sana aisee. Na kuundoa tunahitaji Exposure na akili kubwa kuanzia kwa Viongozi wa juu
Screenshot_20240731_102250_X.jpg

Huyo ntobi ni mtu mkubwa huko cdm,hizo ndio akili za wapinzani
 
Hivi kulikuwa na watu wanakataa kuwa train haikupata tatizo? Zinapata tatizo ndege itakuwa treni?!!! Life goes on....bahati ilikuwa trip ya mwisho so haikusababisha delays kwa wengine. Treni ya leo Dodoma-Dar ilishafika on time, mambo yanaendelea kama kawaida.
Hao ndio watoto wa viongozi wa zamani. Wakikosa vyeo wanaanza kuichafua Tanzania. Generation yao ndio inakwisha hivyo. Mpala 2030 watakuwa wamechoka.

Akina MWAMBUKUSI wamepewa pesa na wamarekani ili ashinde urais wa TLS na waendelee kukwamisha jitihada za Tanzania.
 
Mwezi bado haijaisha na abiria washaanza kulala porini😂😂😂
 
Back
Top Bottom