Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My
Uliwaona wamelala?😎
Ndio hawa hapa🤣🤣😂👇👇

1722417270457.jpeg
 
Bado tunaisikilizia kwa initial runs mpaka mama azindue hayo ni matatizo madogo madogo ya kutatua kama ticketing etc.
Initial runs gani?🤣🤣 Yani abiria wanalala porini kama Wanyama pork🤣🤣👇

1722417513157.jpeg
 
Unatujua wewe? SGR watu wanapita kwenye mitaro na culvert! ujingajinga mwingi! BTW VETA wapo Kigoma sasa sijui inakuwaje hii maneno!
Walikua wanapita kwenye mitaro before uzio kuwekwa hvi SASA uzio unawekwa hawawez kupita tena na zile underpass zote ziko kwenye final, mm natoa ushauri waongeze daraja za watu za kuvuka upande mmoja kwenda mwengine na izibwe kabisa juu chini
 
Huku nilikuwepo majuzi.

Huyo anaeongea ni mpotoshaji au ndo haijui hii barabara.. hii barabara ya kulia ndo ya zaman.. ile ya kule kushoto ni mpya haijafunguliwa.. barabara ya kushoto kwa mbele kuna ofisi nyingi za serikali hata ya mkuu wa mkoa ambapo mbele yake kuna sehem wamefunga, so magari yanayopita kule yanaishia kweny hizo ofisi au yanakatiza mitaa ya hukohuko kushoto kbl hawajafika sehem walipofunga
 
Ohk nilishtuka kidogo!
 
How they were cheated🤣🤣😂

1722419128664.jpeg

The reality🤣🤣🤣😂😂👇👇
1722419164260.jpeg
 
Huku nilikuwepo majuzi.

Huyo anaeongea ni mpotoshaji au ndo haijui hii barabara.. hii barabara ya kulia ndo ya zaman.. ile ya kule kushoto ni mpya haijafunguliwa.. barabara ya kushoto kwa mbele kuna ofisi nyingi za serikali hata ya mkuu wa mkoa ambapo mbele yake kuna sehem wamefunga, so magari yanayopita kule yanaishia kweny hizo ofisi au yanakatiza mitaa ya hukohuko kushoto kbl hawajafika sehem walipofunga
Hilo ni kundi la kipara na wenzake wanajaribu kuikwamisha Serikali. But tunaendelea siku zao zipo watu wanazihesabu.
 
Back
Top Bottom