Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatujasema sisi ni sporting nation usitulishe maneno, tumesema sisi ni footballing nation, jana Yanga imeshinda 4-0 dhidi ya timu kubwa SA, timu gn ya hapa EA inaweza kualikwa South Africa 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥
Timu kubwa indeed🤣🤣😂👇👇

1722268304237.jpg
 
Attachments

  • 1722268304237.jpg
    1722268304237.jpg
    199.8 KB · Views: 5
Kwani hiyo treni inashusha na kupandisha watu dodoma tu ujui inavituo vingi tena vinaendelea kujengwa kama hili kosa likiendelea itskuwa ni upumbavu ..tatizo lenu kwenye huu uzi mmejazana wapuuzi ambao mnaleta ushabiki kwenye mambo ya msingi.
Reli yetu ni hybrid ya Arema na European standard na sio Chinese. Hayo mavitu Euro sio mipigo yao.
 
Kwani hiyo treni inashusha na kupandisha watu dodoma tu ujui inavituo vingi tena vinaendelea kujengwa kama hili kosa likiendelea itskuwa ni upumbavu ..tatizo lenu kwenye huu uzi mmejazana wapuuzi ambao mnaleta ushabiki kwenye mambo ya msingi.
We nawe shida yako nini?

Mbona malalamiko mengi kama inakuuma kakumbatie transformers.
 
Back
Top Bottom