Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,702
- 107,146
kupunguza ili iweje? mipango ya budget itatekelezwaje?Ukitaka kujua kuna watanzania uwa wanasabotage maendeleo kwa kulipwa na kundustan unaweza kusikia na sisi tukapandisha hiyo fee,ningekua mimi ningepunguza kabisa
Ngoja nimwite chawa WA mama atusaidie kufikisha ujumbe 😂😂😂😂 ChoiceVariableUkitaka kujua kuna watanzania uwa wanasabotage maendeleo kwa kulipwa na kundustan unaweza kusikia na sisi tukapandisha hiyo fee,ningekua mimi ningepunguza kabisa
Chawa ndio nini? Haihitaji maelezo mengi , Bajeti hii Serikali imepunguza tozo na ghasia kwenye sekta ya Utalii.Ngoja nimwite chawa WA mama atusaidie kufikisha ujumbe 😂😂😂😂 ChoiceVariable
Sawa umeeleweka abduli 😂😂😂😂Chawa ndio nini? Haihitaji maelezo mengi , Bajeti hii Serikali imepunguza tozo na ghasia kwenye sekta ya Utalii.
Ruto ameanza kuwagonga kisawasawa. Wapi Teargas 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
View: https://x.com/edgarwabwire_/status/1815847074375643513