Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

200km from Nairobi

1721843615862.png
 
Kama umeumia chomoa, hapo unaweza kufananisha na mji gn EA, tatizo lenu waafrika hamjiamini, hapo pamezidi nchi nyingi tu za ulaya.
Kwa hivo paka akisema yeye ni simba tumkubali tu kisa tunapenda kujiamini? Yani Mji hata haujafikia Eldoret unataka tuseme ni ulaya? Tema hicho kitu broo. Sikujua unatumia jaba. 🤣 🤣 🤣
 
Kwa hivo paka akisema yeye ni simba tumkubali tu kisa tunapenda kujiamini? Yani Mji hata haujafikia Eldoret unataka tuseme ni ulaya? Tema hicho kitu broo. Sikujua unatumia jaba. 🤣 🤣 🤣
Acha kufananisha dar na takataka zenu,nyie machafu chafu vp!mnajitoa akili
 
Attachments

  • TikTok_7293579187842026757.mp4
    5 MB
Last kicks of a dying horse 🤣🤣🤣
 
Last kicks of a dying horse 🤣🤣🤣
Huu wimbo tuliuimba miaka mingi iliyopita, leo tunashuhudia vitendo, Kenya ni the failed state ever, siwezi kupanda ndege ya Kenya hata kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom