Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Kwani ni ya Kenya?Kwani sportpesa ni ya Tanzania?
Kama umeumia chomoa, hapo unaweza kufananisha na mji gn EA, tatizo lenu waafrika hamjiamini, hapo pamezidi nchi nyingi tu za ulaya.Kama hapa ni ulaya heri nisiwai tembea Ulaya tena.
Niliiona hii live pale JNIA T2. Watu wana pesa mzee.Wakati kunyan wanakaribia kuanza kuchinjana huku kwetu ni tofauti kabisa
Wakenya hawatuwezi kwa chochote kwa sasa, wamebaki na past memories tu, tumewazidi kwa kila kitu, tuna infrastructures nyingi ambazo kwao ni ndoto za alinacha, hakuna battle hapa ni tunawafariji tu.Hizi ndio sehemu zilizotengwa kwa wavuka kwa miguu,kunyan wamekua wakipost vipicha watu wakipita kwenye mifereji
Hawatuwezi wale kunguniWakenya hawatuwezi kwa chochote kwa sasa, wamebaki na past memories tu, tumewazidi kwa kila kitu, tuna infrastructures nyingi ambazo kwao ni ndoto za alinacha, hakuna battle hapa ni tunawafariji tu.
Not only the best na pia the longest modern train in Africa 😂😂😂Parking kwenye terminals za BRT zilipaswa ziwe hivi full packed, na ndio lengo kuu la any public transport, watu wanatoka nyumbani na gari wanaenda kwenye point ya public transport wanapark private cars zao wanaingia kwenye public transport to their respective destinations, barabara nyingi kwenye developed countries zipo empty ila kwenye public transport zipo over occupied inapunguza ajali, carbon emissions, gharama
View attachment 3050940View attachment 3050941View attachment 3050943View attachment 3050944View attachment 3050945
Brabus hiyo kaka,wana pesa kama karatasi!Niliiona hii live pale JNIA T2. Watu wana pesa mzee.