Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jiulize why watanzania wengine wamenyamaza na hawaongelei hayo mambo ya TPA, Dodoma Parliament and Rock City mall? It’s because They know the truth.

Here is the designer talking about designing Rock City mall.

View: https://youtu.be/tlYv47dhcVY?si=Rb6ikHrcbH2wmGy7
View attachment 3048466

Yale yale nilokua nayasemea.
Bunge la kwanza la Tanganyika lilijengwa na Tanganyikans wenyewe kuanzia usanifu mpaka jengo kusimama.
Baadae bunge likafanyiwa renovations tu.
Ila muundo unauona hapo ni muundo wa usanifu wa kiislam/wa kiarabu.
Screenshot_2024-07-22-09-17-53-23_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Hivi una miaka ngapi dogo? Una ubishi wa kitoto sana. Yani unapewa evidence yote bado unabisha tu.
Ninavyojua mimi Estim ni contractors, sio architects. Hivi unajua utofauti wa contractor na Architect? TSL ni electrical engineers, sio Architects, hivi unajua utofauti wa engineer na architect? Unajua kuwa jengo la urefu wa TPA huwa na consultants wangapi na contractors wangapi? Unajua lead consultant huwa nani? Hili jukwaa limejaa vitoto vidogo kama wewe Coodip, Sambaboy et al ambavyo vimeona mtandao juzi sasa vinangángána kupingana vitu ambavyo havielewi.
Huyu hapa mwanzilishi wa K&M Archplans akihojiwa. Tazama kuanzia 6:29 akiongelea Tanzanian Parliament. 6:53 anaongelea TPA hadi model imeonyeshwa. Acheni ubishi wa kipuuzi?

View: https://youtu.be/UtScsLLJd6I

Mie sio mtoto mpuuzi wewe.
Nina umri wa kutosha vizuri tu.
TSL ni kampuni kubwa ya masuala ya usanifu majengo na vifaa vya umeme.
TSL hiyo hiyo pia ilifanya kazi katika ujenzi na usanifu wa maghorofa ya Dubai Abu Dhabi.
Pia inaonekana we una kichwa kigumu sana.
Nilieleza TSL wamehusika na vifaa vya umeme,interior and exterior design na Estim wakiwa main contractors.
K&M WALIKUA MINOR PARTICIPANTS.
Wakuu wa hiyo kazi ya kusanifu hilo jengo hawakuwa K&M.
Hiko ndicho nilichokipinga.
Pia UKOME kuniita mtoto mdogo mume na baba wa mtu mimi.
 
Yale yale nilokua nayasemea.
Bunge la kwanza la Tanganyika lilijengwa na Tanganyikans wenyewe kuanzia usanifu mpaka jengo kusimama.
Baadae bunge likafanyiwa renovations tu.
Ila muundo unauona hapo ni muundo wa usanifu wa kiislam/wa kiarabu.View attachment 3048474
hii excerpt yako inasema artwork imefanywa na Watanzania na material imekuwa locally sourced. Unajua tofauti ya artwork na architectural design? Naona kama tunapingana na mtu ambaye hajawai kanyaga darasani.
 
Jiulize why watanzania wengine wamenyamaza na hawaongelei hayo mambo ya TPA, Dodoma Parliament and Rock City mall? It’s because They know the truth.

Here is the designer talking about designing Rock City mall.

View: https://youtu.be/tlYv47dhcVY?si=Rb6ikHrcbH2wmGy7
View attachment 3048466

Rock city mall siwezi kutoa comment maana sijawahi kufuatilia kuhusu hilo.
Mie nipo katika TPA tower na bunge la Tanzania.
TPA tower mlikua washiriki WADOGO.
Kazi kubwa hamkufanya ninyi .
 
Yale yale nilokua nayasemea.
Bunge la kwanza la Tanganyika lilijengwa na Tanganyikans wenyewe kuanzia usanifu mpaka jengo kusimama.
Baadae bunge likafanyiwa renovations tu.
Ila muundo unauona hapo ni muundo wa usanifu wa kiislam/wa kiarabu.View attachment 3048474
This screenshot doesn’t talk about who designed the building. Are you really this thick?
 
Mie sio mtoto mpuuzi wewe.
Nina umri wa kutosha vizuri tu.
TSL ni kampuni kubwa ya masuala ya usanifu majengo na vifaa vya umeme.
TSL hiyo hiyo pia ilifanya kazi katika ujenzi na usanifu wa maghorofa ya Dubai Abu Dhabi.
Pia inaonekana we una kichwa kigumu sana.
Nilieleza TSL wamehusika na vifaa vya umeme,interior and exterior design na Estim wakiwa main contractors.
K&M WALIKUA MINOR PARTICIPANTS.
Wakuu wa hiyo kazi ya kusanifu hilo jengo hawakuwa K&M.
Hiko ndicho nilichokipinga.
Pia UKOME kuniita mtoto mdogo mume na baba wa mtu mimi.
Architect ndio unaita minor participant? Una akili timamu wewe? Unajua lead consultant kwa building huwa nani?
 
hii excerpt yako inasema artwork imefanywa na Watanzania na material imekuwa locally sourced. Unajua tofauti ya artwork na architectural design? Naona kama tunapingana na mtu ambaye hajawai kanyaga darasani.
Unajua bunge limekarabatiwa mara ngapi!?
Tuanze hapo kwanza.
 
Rock city mall siwezi kutoa comment maana sijawahi kufuatilia kuhusu hilo.
Mie nipo katika TPA tower na bunge la Tanzania.
TPA tower mlikua washiriki WADOGO.
Kazi kubwa hamkufanya ninyi .
Kama ni washiriki wadogo then how come the Kenyan architect won 1st Prize award?
IMG_0384.png
 
Unajua bunge limekarabatiwa mara ngapi!?
Tuanze hapo kwanza.
Sisi tunaongelea architect aliyebuni jengo wewe unaongelea kukarabatiwa. Kwa hivo ukinunua Toyota hapo Dar alafu uende ubadilishe rangi inakuwa ni wewe ndio uliyebuni hiyo Toyota? Nimeona Sokwe wenye akili kukushinda.
 
Huyu jamaa Hana akili 😂😂😂
 
Sisi tunaongelea architect aliyebuni jengo wewe unaongelea kukarabatiwa. Kwa hivo ukinunua Toyota hapo Dar alafu uende ubadilishe rangi inakuwa ni wewe ndio uliyebuni hiyo Toyota? Nimeona Sokwe wenye akili kukushinda.
Ona sasa ulivyo huna akili!!
Hilo bunge la Tanzania limejengwa miaka ya uhuru na miaka hiyo unayosemea wewe limekarabatiwa kwa kusanifiwa nje na ndani.
Ila muundo wake ni ule ule wa miaka ya nyuma uliobuniwa na watanganyika.
Nahisi una funza kichwani.
Screenshot_2024-07-22-09-17-53-23_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Ona sasa ulivyo huna akili!!
Hilo bunge la Tanzania limejengwa miaka ya uhuru na miaka hiyo unayosemea wewe limekarabatiwa kwa kusanifiwa nje na ndani.
Ila muundo wake ni ule ule wa miaka ya nyuma uliobuniwa na watanganyika.
Nahisi una funza kichwani.
View attachment 3048480
Miaka ya Uhuru bunge lenu lilikuwa Dar es Salaam, nikufunze hadi historia yako?

1000192661.jpg
 
Nimemuita K&M minor participants kwasababu K&M hakuwa pekee yake bali architecturer wa TSL DUBAI walikuwepo pia.
Dude, give up. You're clearly losing it hata kuquote kunakushinda. TSL were the electrical engineers on the project, K&M were the Architects. TSL is not an architectural firm sasa watafanyaje kazi ya architect? Hivi wewe unaweza peleka gari lako Muhimbili hospital likatibiwe? Una ubishi wa kitoto sana. Sijui una miaka mingapi ila maturity yako iko chini sana.
 
Back
Top Bottom